Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Huyu dogo anajua lakini kama ameanza haya muziki utamshinda mapema...
Naona utofauti wa kuwa chini ya mkubwa Fela na kuwa chini ya watoto wenzie...
Najua ameumizwa na huyo mtoto mwenzie lakini amekosa washauri wazuri ana anza kulewa sifa....
Huu alio imba ni ujinga kabisa.....kuna watakao muunga mkomo humu hasa malaika wa jf lakini ukweli ni kwamba ame kengeuka.....
 
HV ww ulishawahi kumwambia huyo mwanamke ulokutana nae kwamba ananuka zaidi ya kuja kulalamika Jf?? Nyie ndo hamjielewi sasa unakaaje na mwanamke wa vile muda huo wote bila kumwambia unasubiri muachane ndo umwambie . hahaaa mm mnanifurahishaga sometimes
Me nilishawahi mwambia na kiukweli alikubali udhaifu na nikaja jua wengine kunuka ni ugonjwa na nilimsaidia hadi akapata dawa ya asili na ikatoka kabisa hadi saiv haijajirudia na huwa ananipaga show siku mojamoja maana hakutegemea...Kikubwa ni kukubali udhaifu...Na natoa ofa mwenye tatizo la kutoa harufu sehemu za siri na kwapani ila ile ya ugonjwa sio uchafu niPM nitakusaidia buree
 
Sasa kumbe mnajua kuwa wengine ni ugonjwa why muwadhalilishe ?? Kama ulimwambia ni jambo jema lkn mwingine atakuja Jf kulalamika as if yule mlengwa atamsikia

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
Huyu dogo anajua lakini kama ameanza haya muziki utamshinda mapema...
Naona utofauti wa kuwa chini ya mkubwa Fela na kuwa chini ya watoto wenzie...
Najua ameumizwa na huyo mtoto mwenzie lakini amekosa washauri wazuri ana anza kulewa sifa....
Huu alio imba ni ujinga kabisa.....kuna watakao muunga mkomo humu hasa malaika wa jf lakini ukweli ni kwamba ame kengeuka.....
This is what we call a gentleman, hongera mkuu kwa kulitambua hilo naamini unajielewa ndo maana umeona makosa aliyoyafanya aslay kwa yeyote anayesupport huu wimbo hajielewi hasa mwanamke akisaport akapimwe akili
 
Mleta mada ana hoja.Kuwepo na adabu kwenye matumizi maneno.Kuna matumizi ya maneno kupunguza makali mfano nguo za ndani.BASATA ndiyo wa kulaumu.Wasanii wasituharibie maadili waje kwa fasihi pia.Kuna mmoja kaimba kwa ustadi mkubwa kupeleka ujumbe sehemu kama sikosei."Kama sura hata mbuzi anayo lakini wo wo woo..'!
Hahaaa mkuu hapo msitar wa mwisho nimecheka .. Kweli huyu dogo hajatumia fasihi kabisa yaan kaleta maneno kama yalivo basata inabidi wauchunguze huu wimbo

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
Ukicheki comments za aliyeleta Uzi anataka kujaribu kubalance motion iliyopo
Amekazania pumbu sijui boxer zinanuka hatukatai but you can't compare unukaji wa mwanamke na mwanaume ni quietly different.
Mwanamke asipofua pichu yake ndani ya siku moja walahi ni bora upite jalala la pugu utavumilia
Unukaji wa mbupu na boxer kwa wanaume ni kwa kiasi kidogo mno tena hapo arudie boxer hata siku 3 unaweza usisikie harufu kama tu anaoga..but wanawake kwa kweli mkubali tu hali halisi nature ya organ's zenu nazo ni sababu mojawapo namna maumbile yenu yalivyo yapo kwa ndani yanakosa hewa ya kutosha.
Ray 4 real ukweli ni kwamba huwezi compare smell anazotoa me na ke hapa najua unafurahisha jukwaa tu.
Nani kakwambia kunuka kunazidiana HV mnajijua mlivo kero mnavonuka hasa hasa vikwapa ?? Msijitie hamnazo
 
Inabidi tufanye practical ili aelewe, ajaribu kupitisha siku 3 hajaoga wala akienda haja ndogo asijisafishe atapata mrejesho
Duuh kumbe ndo unafanyaga hivo mkuu sasa unataka uone kwa mwanamke itakuaje ..aisee bongoland ina mambo
 
Mleta mada ana hoja.Kuwepo na adabu kwenye matumizi maneno.Kuna matumizi ya maneno kupunguza makali mfano nguo za ndani.BASATA ndiyo wa kulaumu.Wasanii wasituharibie maadili waje kwa fasihi pia.Kuna mmoja kaimba kwa ustadi mkubwa kupeleka ujumbe sehemu kama sikosei."Kama sura hata mbuzi anayo lakini wo wo woo..'!
Mkuu ktk Uzi huu ndo nimedhihirisha kuwa wanaume kama nyie wameanza kupungua yaani cjui tunaenda wapi ukisoma comment zao zinasikitisha
 
Lol, bitter truth.
Nyie ndo mnaogopa mkikemea huu upuuzi wa wanaume kuwadhalilisha ndo mtaambiwa nyie ndo walengwa .. Sikia nikwambie mwanaume huyu sio mwenzio atakusifia ukiwa nae mkiachana anakung'ong'a . nawashangaa wanawake mliofurahia huu wimbo
 
Rejea comment za 260 na 262 za wanaume wenzio uone mlivotofautiana upeo wa kufikiri

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
Tatizo lako unataka tutetee hoja na tuwe upande wako hilo ndio tatizo lako kubwa..mtu anatoa comments kutokana na uhalisia na uelewa wake! Kukosolewa ni sehemu ya kujifunza na kujirekebisha.
Usitumie gender kama inferiority complex Mara hamna mashangazi, Dada au wamama! Ni sawa na kutafuta ugomvi wa mawe halafu unakimbilia kwenye nyumba ya vioo, Obviously utaonekana umeonewa.
 
Back
Top Bottom