NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,660
Akikujibu nitag mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Inabidi tufanye practical ili aelewe, ajaribu kupitisha siku 3 hajaoga wala akienda haja ndogo asijisafishe atapata mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nitag mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Inabidi tufanye practical ili aelewe, ajaribu kupitisha siku 3 hajaoga wala akienda haja ndogo asijisafishe atapata mrejesho
Me nilishawahi mwambia na kiukweli alikubali udhaifu na nikaja jua wengine kunuka ni ugonjwa na nilimsaidia hadi akapata dawa ya asili na ikatoka kabisa hadi saiv haijajirudia na huwa ananipaga show siku mojamoja maana hakutegemea...Kikubwa ni kukubali udhaifu...Na natoa ofa mwenye tatizo la kutoa harufu sehemu za siri na kwapani ila ile ya ugonjwa sio uchafu niPM nitakusaidia bureeHV ww ulishawahi kumwambia huyo mwanamke ulokutana nae kwamba ananuka zaidi ya kuja kulalamika Jf?? Nyie ndo hamjielewi sasa unakaaje na mwanamke wa vile muda huo wote bila kumwambia unasubiri muachane ndo umwambie . hahaaa mm mnanifurahishaga sometimes
Sasa kumbe mnajua kuwa wengine ni ugonjwa why muwadhalilishe ?? Kama ulimwambia ni jambo jema lkn mwingine atakuja Jf kulalamika as if yule mlengwa atamsikiaMe nilishawahi mwambia na kiukweli alikubali udhaifu na nikaja jua wengine kunuka ni ugonjwa na nilimsaidia hadi akapata dawa ya asili na ikatoka kabisa hadi saiv haijajirudia na huwa ananipaga show siku mojamoja maana hakutegemea...Kikubwa ni kukubali udhaifu...Na natoa ofa mwenye tatizo la kutoa harufu sehemu za siri na kwapani ila ile ya ugonjwa sio uchafu niPM nitakusaidia buree
This is what we call a gentleman, hongera mkuu kwa kulitambua hilo naamini unajielewa ndo maana umeona makosa aliyoyafanya aslay kwa yeyote anayesupport huu wimbo hajielewi hasa mwanamke akisaport akapimwe akiliHuyu dogo anajua lakini kama ameanza haya muziki utamshinda mapema...
Naona utofauti wa kuwa chini ya mkubwa Fela na kuwa chini ya watoto wenzie...
Najua ameumizwa na huyo mtoto mwenzie lakini amekosa washauri wazuri ana anza kulewa sifa....
Huu alio imba ni ujinga kabisa.....kuna watakao muunga mkomo humu hasa malaika wa jf lakini ukweli ni kwamba ame kengeuka.....
Hahaaa mkuu hapo msitar wa mwisho nimecheka .. Kweli huyu dogo hajatumia fasihi kabisa yaan kaleta maneno kama yalivo basata inabidi wauchunguze huu wimboMleta mada ana hoja.Kuwepo na adabu kwenye matumizi maneno.Kuna matumizi ya maneno kupunguza makali mfano nguo za ndani.BASATA ndiyo wa kulaumu.Wasanii wasituharibie maadili waje kwa fasihi pia.Kuna mmoja kaimba kwa ustadi mkubwa kupeleka ujumbe sehemu kama sikosei."Kama sura hata mbuzi anayo lakini wo wo woo..'!
Nani kakwambia kunuka kunazidiana HV mnajijua mlivo kero mnavonuka hasa hasa vikwapa ?? Msijitie hamnazoUkicheki comments za aliyeleta Uzi anataka kujaribu kubalance motion iliyopo
Amekazania pumbu sijui boxer zinanuka hatukatai but you can't compare unukaji wa mwanamke na mwanaume ni quietly different.
Mwanamke asipofua pichu yake ndani ya siku moja walahi ni bora upite jalala la pugu utavumilia
Unukaji wa mbupu na boxer kwa wanaume ni kwa kiasi kidogo mno tena hapo arudie boxer hata siku 3 unaweza usisikie harufu kama tu anaoga..but wanawake kwa kweli mkubali tu hali halisi nature ya organ's zenu nazo ni sababu mojawapo namna maumbile yenu yalivyo yapo kwa ndani yanakosa hewa ya kutosha.
Ray 4 real ukweli ni kwamba huwezi compare smell anazotoa me na ke hapa najua unafurahisha jukwaa tu.
Ila usafi ni mwanaume kuvaa boxer wiki nzma??Mwanamke usafi sio chupi unaivaa wiki mwache awachane digo [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]dogo Asley
Duuh kumbe ndo unafanyaga hivo mkuu sasa unataka uone kwa mwanamke itakuaje ..aisee bongoland ina mamboInabidi tufanye practical ili aelewe, ajaribu kupitisha siku 3 hajaoga wala akienda haja ndogo asijisafishe atapata mrejesho
Mkuu ktk Uzi huu ndo nimedhihirisha kuwa wanaume kama nyie wameanza kupungua yaani cjui tunaenda wapi ukisoma comment zao zinasikitishaMleta mada ana hoja.Kuwepo na adabu kwenye matumizi maneno.Kuna matumizi ya maneno kupunguza makali mfano nguo za ndani.BASATA ndiyo wa kulaumu.Wasanii wasituharibie maadili waje kwa fasihi pia.Kuna mmoja kaimba kwa ustadi mkubwa kupeleka ujumbe sehemu kama sikosei."Kama sura hata mbuzi anayo lakini wo wo woo..'!
Rejea comment za 260 na 262 za wanaume wenzio uone mlivotofautiana upeo wa kufikiriAkikujibu nitag mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Pole sana ila umewsikilizishia mamaako na dadaako au unasikiliza mwenyewe tu...Yote tisa. Kusema kweli hili goma hatari 'coz hapa nilipo nimeliweka on Repeat!
Kumbe kanapiga mitungiDogo pombe zinamharibu sana
Nyie ndo mnaogopa mkikemea huu upuuzi wa wanaume kuwadhalilisha ndo mtaambiwa nyie ndo walengwa .. Sikia nikwambie mwanaume huyu sio mwenzio atakusifia ukiwa nae mkiachana anakung'ong'a . nawashangaa wanawake mliofurahia huu wimboLol, bitter truth.
Haya kaufanyie Kazi ila kwangu mm hakuna ujumbe wowote hapoMbona kna ujumbe mzuri tu,tena umekufikia kwa wakati..
Tatizo lako unataka tutetee hoja na tuwe upande wako hilo ndio tatizo lako kubwa..mtu anatoa comments kutokana na uhalisia na uelewa wake! Kukosolewa ni sehemu ya kujifunza na kujirekebisha.Rejea comment za 260 na 262 za wanaume wenzio uone mlivotofautiana upeo wa kufikiri
Sent from my A500s using JamiiForums mobile app