Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Pole sana mkuuHV mnajijua kwamba mna makwapa yenu yanatema harufu kama mzoga wa panya ?? Basi na nyie badilikeni ni wachafu kupita kiasi boxer inavaliwa Siku 2+
Nikwambie kitu muhimu mkuu ili upate kuishi kwa amani bila kukereka.. binadamu wote si sawa, kuna majehu,wendawzimu, timamu na kila kitu, yawezekana busara kwako kwake ni ujinga n vice versa..Najua hajanitaja mm na kati ya sifa alozitaja zote zimenipita kushoto ila tu sijapendezwa vile kumdhalilisha huyo mwanamke maana ni mwanamke kama mm ila tukisema ktk mahusiano yote watu waanze kuambiana mapungufu tutakimbiana
Ni kweli ila Kukosha nguo za ndani muhimu.Hahaaa likiwagusa mnakuwaga wapole basi ujue sio wote wapo hivo alivoimba aslay lkn kwa haki za wanawake kakosea wale ni mama zenu
Ndo nyie wenyewePole sana mkuu
hao unaokutana nao ndio saizi yako!
Pambana
niko vzuri mkuuNdo nyie wenyewe
Na pia ndo akili ya wachangiaji walio wengi.. Real gentlemen like you ni wachache sana .. Hongera mkuuNikwambie kitu muhimu mkuu ili upate kuishi kwa amani bila kukereka.. binadamu wote si sawa, kuna majehu,wendawzimu, timamu na kila kitu, yawezekana busara kwako kwake ni ujinga n vice versa..
Kwangu naona kakosea pia sababu akili yangu inapinga kitu kama hicho naona si sawa.. ila kwa kuwa katenda yeye naona sawa sababu ndio akili yake ilipogotea..
So calm down ndugu yangu.
Tunakosha tena vizur sana sema hayo maneno ya mkosaji ya huyo dogo baada ya kupigwa kibutiNi kweli ila Kukosha nguo za ndani muhimu.
Ahsante mkuu.Na pia ndo akili ya wachangiaji walio wengi.. Real gentlemen like you ni wachache sana .. Hongera mkuu
HV mkuu unaamini kila akichokiimba aslay ni ukweli hakuna mwanamke anaweza kuwa na sifa mbaya zote hizo ndo maana mm nimesema ni udhalilishaji .et kuna watu wananuka makwapa kama wanaume jamani tena unamkuta mwanaume mzur kapendez akuhug sasa hicho kikwapa c cha nchi hii tena vitandani ndo kabisa wengine ni ziroNao wanaume nao sometimes hua wanauz jmn kila mtu ana kasoro zake no one is perfect, always mnapokua na demu huwaga hamuzioni kasoro zake ngoja sasa muachane uuuuuuw ni shida!
Na sisi wanawake ifikie kipind tubadilike ili wanaume wakose cha kukosoa, mm sitaki kuamini kua uchafu ni kasoro hapana hii ni tabia ambayo inabadilishika jmn, mm naamini tukiamua tunaweza
Jitahidi kulegeza kiuno na kufua fua kama alivyoshauri badala ya kukimbia ukweli!Habari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]
Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..
Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
Na nyie jaribu kufua boxer zenu zinanuka na makwapa pia muyasugue yanatemaJitahidi kulegeza kiuno na kufua fua kama alivyoshauri badala ya kukimbia ukweli!
Kwani hiyo beti nayo imo ama umeamua kuiongeza...by then hujui hata beberu anayenukia ni mkomavu kwa shughuli kuliko hutu tudogo tudogo? Just Imagine hata nanihii alivyokuwa anawaongoza wana wa Israel Jangwani kama alipata muda wa kufua boxer...Na nyie jaribu kufua boxer zenu zinanuka na makwapa pia muyasugue yanatema
Kwahiyo umekubali kwamba mnatema kama beberu?? Hiyo ni moja ya kero kubwa sana vikwapa kunukaKwani hiyo beti nayo imo ama umeamua kuiongeza...by then hujui hata beberu anayenukia ni mkomavu kwa shughuli kuliko hutu tudogo tudogo? Just Imagine hata nanihii alivyokuwa anawaongoza wana wa Israel Jangwani kama alipata muda wa kufua boxer...
Sawawanasema ukweli unauma
Mbona nyie vibamia na watu hawasemiSasa kama liuno lako zito usiambiwe
ww nani?