Ray 4 real
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 801
- 764
- Thread starter
-
- #121
Et kuna ambao wanaufurahia huu upuuz wa aslay kumbe nao hawajui wanaume wakitoka wanang'ong'a mwanaume sio mwenzioYaan na mm mwanamke anayemponda mwanamke mwenzie hajielew
Nahis wengne hawajielew kabisa na cku zote adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzioEt kuna ambao wanaufurahia huu upuuz wa aslay kumbe nao hawajui wanaume wakitoka wanang'ong'a mwanaume sio mwenzio
Kabisa mwanamke mwenzio hawez kuvuliwa nguo ukachekelea wengine cjui wanahis wakiponda ndo wataambiwa wachafu wao.. ShameNahis wengne hawajielew kabisa na cku zote adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzio
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziewanawake bhna
Miaka 1000000000000Jf idumu.sio kwa comment izi duh
Eti hivi kwel mpka leo kuna mwanamke anaejielewa anavaa pichu chafu kwel, hapana jmn vingine wanazidisha hawa viumbe ni wa kuwakemea kwa nguvu zoteKabisa mwanamke mwenzio hawez kuvuliwa nguo ukachekelea wengine cjui wanahis wakiponda ndo wataambiwa wachafu wao.. Shame
ukichukulia katika upande chanya hakuna kibaya hapo hayo ni kweli tupu mwanamke usafi muhimu na kakiuuno kalege kidogoHabari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]
Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..
Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
Wanatudhalilisha sanaEti hivi kwel mpka leo kuna mwanamke anaejielewa anavaa pichu chafu kwel, hapana jmn vingine wanazidisha hawa viumbe ni wa kuwakemea kwa nguvu zote
Na nyie hamjui kama usafi muhimu kufua boxer zenu na kusugua makwapa hayo?? Halafu MTU anakataje kiuno wakati shughuli yenyewe hamuiwezukichukulia katika upande chanya hakuna kibaya hapo hayo ni kweli tupu mwanamke usafi muhimu na kakiuuno kalege kidogo
Think whatever u think ila ukweli ni kwamba huu udhalilishaji umekuwa kwa kasi nowadays inabid upigwe vita mbona nyie mapmb yananuka kama chemba za vyoo lkn hatusemiWanasaikogia wanasema mwenye malalamishi ndio mwenye tatizo
Nani mwanamziki wa kike alishawahi kuimba kumtusi mwanaume kama alivofanya aslay au unahis nyie hamna kero zenu kwanza kuna mtu mchafu kama mwanaume boxer mnazivaa wiki nzimaKututangaza vibamia ruksa kusemwa kiuno na chupi chafu nongwa yaani nyinyi basi mpeleke dawati la jinsia wamkomeshe
Naww ukweli wako utasemwa lini kwamba hufui boxer huoshi makwapa yako yanatoa harufu?? Au unahis nyie hamna kero tena hakuna kero kama mwanaume anaenuka kikwapa Ka beberu poriPole sana ila umeshaambiwa ukweli cha muhim ni kujirekebisha tu
Habari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]
Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..
Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
Kwendraa zenu huko nyie wenyewe mmeoza hapo mlipo mnachekelea huu udhalilishaji wakati kuna mama zenu , Dada , na mashangaz zenu. Hv kuna MTU ananuka makwapa kama mwanaume jamani .nyani haoni kunduleTruth pains... But must be told.
Kwendraa zenu huko nyie wenyewe mmeoza hapo mlipo mnachekelea huu udhalilishaji wakati kuna mama zenu , Dada , na mashangaz zenu. Hv kuna MTU ananuka makwapa kama mwanaume jamani .nyani haoni kundule
Najua sio mm ila haipendez mwanamke kudhalilishwa hv wanawake wakisema waweke madhaifu yenu mbona wengine mtashindwa pata nguvu za kufanya kaz mlivo hampendi kuambiwa ukweli.. Mgejua nyie mnaongoza kwa kunuka vikwapa hatar yaan kama beberu poriKama sio wewe, kuna wenzio ananuka jasho na qummer ile mbaya.