Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Nahis wengne hawajielew kabisa na cku zote adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzio
Kabisa mwanamke mwenzio hawez kuvuliwa nguo ukachekelea wengine cjui wanahis wakiponda ndo wataambiwa wachafu wao.. Shame
 
Kututangaza vibamia ruksa kusemwa kiuno na chupi chafu nongwa yaani nyinyi basi mpeleke dawati la jinsia wamkomeshe
 
Eti hivi kwel mpka leo kuna mwanamke anaejielewa anavaa pichu chafu kwel, hapana jmn vingine wanazidisha hawa viumbe ni wa kuwakemea kwa nguvu zote
 
Habari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]

Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..

Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
ukichukulia katika upande chanya hakuna kibaya hapo hayo ni kweli tupu mwanamke usafi muhimu na kakiuuno kalege kidogo
 
Na nyie hamjui kama usafi muhimu kufua boxer zenu na kusugua makwapa hayo?? Halafu MTU anakataje kiuno wakati shughuli yenyewe hamuiwez
 
Wanasaikogia wanasema mwenye malalamishi ndio mwenye tatizo
Think whatever u think ila ukweli ni kwamba huu udhalilishaji umekuwa kwa kasi nowadays inabid upigwe vita mbona nyie mapmb yananuka kama chemba za vyoo lkn hatusemi
 
Kututangaza vibamia ruksa kusemwa kiuno na chupi chafu nongwa yaani nyinyi basi mpeleke dawati la jinsia wamkomeshe
Nani mwanamziki wa kike alishawahi kuimba kumtusi mwanaume kama alivofanya aslay au unahis nyie hamna kero zenu kwanza kuna mtu mchafu kama mwanaume boxer mnazivaa wiki nzima
 
Pole sana ila umeshaambiwa ukweli cha muhim ni kujirekebisha tu
Naww ukweli wako utasemwa lini kwamba hufui boxer huoshi makwapa yako yanatoa harufu?? Au unahis nyie hamna kero tena hakuna kero kama mwanaume anaenuka kikwapa Ka beberu pori
 
Habari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]

Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..

Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.

Truth pains... But must be told.
 
Truth pains... But must be told.
Kwendraa zenu huko nyie wenyewe mmeoza hapo mlipo mnachekelea huu udhalilishaji wakati kuna mama zenu , Dada , na mashangaz zenu. Hv kuna MTU ananuka makwapa kama mwanaume jamani .nyani haoni kundule
 
Kama sio wewe, kuna wenzio ananuka jasho na qummer ile mbaya.
 
Najua sio mm ila haipendez mwanamke kudhalilishwa hv wanawake wakisema waweke madhaifu yenu mbona wengine mtashindwa pata nguvu za kufanya kaz mlivo hampendi kuambiwa ukweli.. Mgejua nyie mnaongoza kwa kunuka vikwapa hatar yaan kama beberu pori
 
Back
Top Bottom