Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

Imekuchomaa kama pasi...chupi nyimgine ukimvua mtu umakuta zima nata uchafu kma ulimbo....nliamzishaga thread y kuwakosoa wakntkna knma ngja awachane aslay...Na mawigi mbadlishe yannnka jasho
 
Najua hajanitaja mm na kati ya sifa alozitaja zote zimenipita kushoto ila tu sijapendezwa vile kumdhalilisha huyo mwanamke maana ni mwanamke kama mm ila tukisema ktk mahusiano yote watu waanze kuambiana mapungufu tutakimbiana
Ni juavyo msanii huwa anaangalia uhalisia wa jamii then anatunga kazi yake.Kama ni kweli aslay kamtungia mwanamke aloachana nae,basi 99.9% itakuwa ww ndio alikuwa anakukaza.ulijuaje kama hizo mambo km sio ww...tuliza mbegu ya tende hiyo aslay afanye kazi
 
Umenena vyeme mkuu. Kama unafua chupi na Aslay kasema hufui inakuhusu vipi? Utanuka kikwapa.kwasbabu Aslay kasema?
Ishu sio kwamba inanihusu VP ishu ni udhalilishaji uliokithiri dhid ya wanawake nyie mbona mkiambiwa mnanuka makwapa na boxer mbona mnakuwa wakali ina maana nyote mko hivo
 
Ni juavyo msanii huwa anaangalia uhalisia wa jamii then anatunga kazi yake.Kama ni kweli aslay kamtungia mwanamke aloachana nae,basi 99.9% itakuwa ww ndio alikuwa anakukaza.ulijuaje kama hizo mambo km sio ww...tuliza mbegu ya tende hiyo aslay afanye kazi
Yaani Kwa uandishi huu unafanana na wale wanaume wasioosha mapmb yao na kusugua makwapa maana wana akili kama zako.. Na nyie fueni boxer hizo mnakera mpmb inanuka
 
Tia lubricants kiuno hicho kiwe laini boya ww...kwani kwenye huo wimbo umetajwa ? Hilo ni jiwe la gizani ukisikia yerewiiiii......***** jua mtoa Uzi limempata
Osha mapmb hayo ndo urudi kucomment maana naskia hadi harufu humu
 
Yaani Kwa uandishi huu unafanana na wale wanaume wasioosha mapmb yao na kusugua makwapa maana wana akili kama zako.. Na nyie fueni boxer hizo mnakera mpmb inanuka
Umepaniki [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuliza mshono mama hapo me hujanikomoa
 
Umepaniki [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuliza mshono mama hapo me hujanikomoa
Sijakukomoa au nimeongea ukweli wanaume nyie ni wachafu sana yaani boxer mnavaa Siku 2+ mapmb yasinuke kwasababu gani HV unahis nyie hamna kero zenu zipo kibao ni vile tu hamjaibiwa vibamia ndo usiseme
 
Back
Top Bottom