Mlayjr JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 525 Reaction score 307 Dec 25, 2024 #21 Msanii said: Ni muhimu sana wajasiriamali wakakumbuka kuwa na Bima dhidi ya majanga mbalimbali ikiwemo moto Click to expand... Majibu yao, bima hawalipi, matapeli,
Msanii said: Ni muhimu sana wajasiriamali wakakumbuka kuwa na Bima dhidi ya majanga mbalimbali ikiwemo moto Click to expand... Majibu yao, bima hawalipi, matapeli,
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Dec 25, 2024 #22 Paul dybala said: Hapa ni coco Beach kwa Aslay mihogo moto umewaka Jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda yameisha View attachment 3184417 Click to expand... Hayo mabanda yalivyoungana kuna litakalo pona kweli?
Paul dybala said: Hapa ni coco Beach kwa Aslay mihogo moto umewaka Jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda yameisha View attachment 3184417 Click to expand... Hayo mabanda yalivyoungana kuna litakalo pona kweli?
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Dec 25, 2024 #23 Mlayjr said: Majibu yao, bima hawalipi, matapeli, Click to expand... Bima inalipa na hawana yadayada. Mtu anakula hasara na kurudi square uno kwa kutokata bima kwa biashara ama mali zake. Gharama za bima siyo kubwa kivile
Mlayjr said: Majibu yao, bima hawalipi, matapeli, Click to expand... Bima inalipa na hawana yadayada. Mtu anakula hasara na kurudi square uno kwa kutokata bima kwa biashara ama mali zake. Gharama za bima siyo kubwa kivile