Mlayjr
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 525
- 307
Majibu yao, bima hawalipi, matapeli,Ni muhimu sana wajasiriamali wakakumbuka kuwa na Bima dhidi ya majanga mbalimbali ikiwemo moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu yao, bima hawalipi, matapeli,Ni muhimu sana wajasiriamali wakakumbuka kuwa na Bima dhidi ya majanga mbalimbali ikiwemo moto
Hayo mabanda yalivyoungana kuna litakalo pona kweli?Hapa ni coco Beach kwa Aslay mihogo moto umewaka
Jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda yameisha
Bima inalipa na hawana yadayada.Majibu yao, bima hawalipi, matapeli,