Aslay na Mario nawakubali sana, pamoja na ustaa wao wanaishi maisha ya kawaida sana

Comment yako yakibabe sana mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, umeona utaje kwamba una usafiri kiujanja


Kwa sisi tuliozaliwa Mtoni, Mtongani mpaka ukiwa na usafiri wako, maana yake you made it bro. We fikiria, umetoka kwenye yale maisha kula mayai anasa mpaka unapigwa na kiyoyozi kwenye ndinga. We fikiria tumewapoteza masela wetu wangapi kwa cocaine na gongo mpaka tunafika hapa.
 
Hizo ngoma za Aslay ulizoweka zote sizifahamu, nilishaachaga kumsikiliza tangu enzi zile anatoa yale masong ya kufananafanana.
 
Aslay Yupo na Uwezo Wa Juu kuliko Mario.


Wote pia Wanaangukia katika oradha ndefu ya Wasanii Wanao- lilia/Tia huzuni/Huruma-Huruma,Huku Mario akifika mbali kwa ubanaji pua.

-Tunda Man.
-Spack.
-PNC
-Hussein Machozi.
-Ferouz.
-Vumilia.
-Jaymelody.
-Lavalava
.................
 
"We kidawa kwa nini unautesa moyo kidawa......?" hii nyimbo hatari,Mario mzuri ila bado hajafikia level za Aslay.

Sizani kama kuna msanii alishawahi kutoa hiti zaidi ya 14 ndani ya mwaka mmoja zaidi ya Aslay.
Ila kazima mazima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ahhh mariooo mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…