PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Comment yako yakibabe sana mkuu 😂😂😂, umeona utaje kwamba una usafiri kiujanja
Kwa sisi tuliozaliwa Mtoni, Mtongani mpaka ukiwa na usafiri wako, maana yake you made it bro. We fikiria, umetoka kwenye yale maisha kula mayai anasa mpaka unapigwa na kiyoyozi kwenye ndinga. We fikiria tumewapoteza masela wetu wangapi kwa cocaine na gongo mpaka tunafika hapa.