Njaa mbaya sana.Kwa upande mwingine, Twaha amesema msimamo wao utabaki pale pale wa kuwafikisha Mahakamani wasanii hao endapo watashindwa kutimiza masharti waliyopewa na uongozi wa kikundi hicho.
Kama wenye wimbo wamepewa kikundi kinataka nini?Huyo twaha wakati huo wimbo unatungwa alikuwepo au swaumu tu inamsumbua