Aslay na Nandy kupelekwa Mahakamani

Kwa upande mwingine, Twaha amesema msimamo wao utabaki pale pale wa kuwafikisha Mahakamani wasanii hao endapo watashindwa kutimiza masharti waliyopewa na uongozi wa kikundi hicho.
Njaa mbaya sana.
Kama wenye wimbo wamepewa kikundi kinataka nini?Huyo twaha wakati huo wimbo unatungwa alikuwepo au swaumu tu inamsumbua
 
Mie huwa najiwazia kwani ni lazima kurudia wimbo wa mtu ambao ulishaimbwa sababu mwisho wa siku ndio hizi seke seke zinatokea.

Yetu macho na masikio wacha tuone mwisho ni nini.
aslay si ndo wanambusti siku hz na mwenzake nandi sasa naona wakatamani wafanye nyimbo afu aidia ziro haya ndo matokeo
 
sasa laki 8 ..hiyo pesa siitaishia kwa wakili tu ..hahaaa yaani wafungua kesi halafu wadai kiasi cha pesa kama hcho lol
 
Njaa mbaya sana inaharibu mpaka uwezo wa kufikiri.
 
Hawa wasanii tuliwaambia msijiingize kwenye siasa wakatung'ong'a sisi mashabiki zao, sasa wameona nyimbo zao hazina soko, wanaamua kucopy nyimbo za zamani wakizani watatushawishi kumbe wanaingia matatani.

nandi na aslay ndio wako juu sasa kimziki wengine wote tupa kule

ulichosema hakina ukweli
 
Asijali boss ruge yupo atawalipia kila kitu mahakamani,unaambiwa ruge ni genius sana huwa hashinfwi kwanza hata wao enzi zao itakua walisimamiwa na ruge.
Mkuu ni wewe au naota, yaani Culture waliopiga wimbo huo miaka ya 70/80 kuwa walisimamiwa na Ruge?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hahaha sio mimi ni mange kasema
 
Mkuu naomba nisaidie kujua hati miliki unavo kuwa . Je kigezo cha utunzi na nikaimba mm mwenyewe nyimbo haitoshi kunipa hati miliki?
Inategemea unaweza ukatunga na kuimba lakin upo chin ya kikundi,kikundi ndio kitakua na haki miliki but inategemea na makubaliano.Tatizo kibongo bongo tunafanya kazi kwa mazoea sana
 
Wimbo ni mali ya kikundi sio waimbaji,wao walikosea kupatana na waimbaji
 
Waliwalipaa kabisaa hao wenye huo.wimboo ilaa wale jamaa wamewageuka saa hizi tamaa tu
kua mpole ndugu.... wakiamua kwenda mahakamani watashinda kesi cs iyo hela hawakuwapa kundi kama kundi walwapa baadhi ya wanakikundi rejea katiba yao ya kundi
inshot ni kwamba wameingizwa mjini na wanakikundi wajanja.... wimbo sio mali ya mtu ni mali ya kikundi chao rejea katiba yao

malizaneni tuu nje ya mahakama
ndii ushauri wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…