Aslay na Nandy wapigwa faini ya TZS 5M kwa wizi wa wimbo 'Subalkheri Mpenzi'

Aslay na Nandy wapigwa faini ya TZS 5M kwa wizi wa wimbo 'Subalkheri Mpenzi'

Kwa nini clouds wanaruhusu wasanii wanaowasimamia kurudia nyimbo za watu bila ruhusa za wamiliki. Kuna wale wasanii wao wachanga wanapiga nyimbo za watu kama wanavyo jisikia kwenda chooni. Mpaka za dini yaani inakera sana...
 
Back
Top Bottom