Aslay: Ukijua unachofanya raha sana...

Ukiangalia show ya komaa concert Beka alitumia muda mwingi kuimba nyimbo za wasanii wengine, hayo ndo madhara ya kutokuwa na nyimbo nyingi. Mwenzake Aslay ni bandika bandua

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond anaanza kufanya show fiesta alikua ana ngoma ya kamwambie tu.
Kwenye show alicheza hadi wimbo wa Michael Jackson Thriller, na yeye siyo wa kwanza.

Casper Nyovest alikua anafanya live show huku anachombezea Shebeleza, naamini Beka ana nyimbo ambazo hatujawahi kuzisikia angechombezea hizo hizo.
Ni kwakua pengine hana organizer mzuri.
 
Nyimbo alikuwa nazo sawa ila zinasound kitotototo, sahivi hainogi kuwaimbia watu nyimbo hizo, huyu ni Aslay mwingine sio yule dogo Aslay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kwanini aimbe za mwaka 47 wakati ana uwezo wa kutoa vitu vipya tena vzr zaidi na vinavyoendana na wakati wa soko la muziki uliopo?
 
Namkubali sana aslay hajawai kosea
 
unataka kusema Cassper Nyovest ana uhaba wa nyimbo nae au ww ndo ujui nyimbo zke zingine

G.O.M.D
 
unataka kusema Cassper Nyovest ana uhaba wa nyimbo nae au ww ndo ujui nyimbo zke zingine

G.O.M.D
Soma vizuri mzazi, point yangu ni kua alikua anachombezea wimbo ambao watu walikua hawajawahi kuusikia.

Na kwakua Beka atakua ana nyimbo zingine ambazo hatuzijui angeweza kufanya hivyo.
 
Anajua ila tatizo mahadhi ya nyimbo zake yanafanana sana...yaani ni anakazia beats kdg tu,lkn mostly uimbaji unakua ule ule.Hope kadri anavyousoma mchezo anaweza badilika huko mbeleni.

Ila kuna Tsunami inaandaliwa huko WCB kutoka kwa Mboso Khani,mtu na madoido yake...Kimya cha huyu jamaa nakisubiria sana cjui nae atakuja na tiktak gani.
 
katoa nyimbo 14 na zote zimependwa,mashabiki tunataka tena tuuu,haijawahi kutokea ktk mziki wa ulimwenguni ukimtoa michael jackson ns 50 cents,hawa ndo walikuwa na uwezo wa kuachia hata ngoma 3 kwa siku moja na zote zikawa hit
 
Mkuu haujui au haufuatilii muziki.
Jay Z na Empire state of mind, Forever young, illest motherfucker alive zilitoka kwa interval gani?
Zilikua na melody au mahadhi sawa?
 
Umemsahau mtu anaitwa Ja Rule
katoa nyimbo 14 na zote zimependwa,mashabiki tunataka tena tuuu,haijawahi kutokea ktk mziki wa ulimwenguni ukimtoa michael jackson ns 50 cents,hawa ndo walikuwa na uwezo wa kuachia hata ngoma 3 kwa siku moja na zote zikawa hit
 
Nakubariana na wewe kwa yote ila napingana na wewe hapa.
Ili mziki wetu ufike mbali unahitaji uwekezaji, huwezi sema video ya laki tano itakufikisha mbali sana.
Anakubarika ndani, mshaurini afanye video nzuri awekeze mziki ni biashara ili afike mbali zaidi.
Unless kama lengo ni kukubarika tz tu, lakini awe na ndoto ya kufika mbali zaidi inabidi awekeze.
Kiba mwenyewe alichelewa ila sasa hivi kakubari so kipaji + uwekezaji utamfanya afike mbali zaidi na zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…