Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Diamond anaanza kufanya show fiesta alikua ana ngoma ya kamwambie tu.Ukiangalia show ya komaa concert Beka alitumia muda mwingi kuimba nyimbo za wasanii wengine, hayo ndo madhara ya kutokuwa na nyimbo nyingi. Mwenzake Aslay ni bandika bandua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye show alicheza hadi wimbo wa Michael Jackson Thriller, na yeye siyo wa kwanza.
Casper Nyovest alikua anafanya live show huku anachombezea Shebeleza, naamini Beka ana nyimbo ambazo hatujawahi kuzisikia angechombezea hizo hizo.
Ni kwakua pengine hana organizer mzuri.