Aslay vs Rayvanny vs Harmonize vs Jux

Aslay vs Rayvanny vs Harmonize vs Jux

Atarudi na matatizo inafanana na UPI??
Maana yangu namaanisha siyo kwamba nyimbo zao zinafanana hapana, kila mmoja nyimbo yake ya awali uimbaji unafanana na ya sasa na ijayo.
Unakuta wanaimba key ile ile, sometimes hadi ujumbe, sometimes mpaka beat over wanafanya cover.
 
Nataka kujua kwanza, nani anaandika mwenyewe na nani anaandikiwa!?
 
Back
Top Bottom