bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
Kwa Dunia Tuliopo kutajirika ni easy sana USIWE na uwoga tu, asma juzi alikua na tangazo la crdb marathon ka sikosei, pale analipwa, yule dullah juzi hapa alikuwa na dili na nmb bank wanalipwa mjue, sa kinashindikana nini?
James Stephen Donaldson maarufu Mr beast, Darren Watkins maarufu I show speed, Gracie bon demu mwenye trako lake mjini kutoka panama NAE, pita ig au you tube muone madili wanayo Saini, huyu Mr beast juzi tu katajwa Forbes utajiri us dollar bilion Moja, kwanini asma ashindwe?
Anaweza kuwa na makando ila guys now days social networks ukiitumia vizuri TU tunatoboa.
Humu jamii forum ukimtumia mshana Jr let say akutangazie biashara haiendi mjini? Alafu you pay, umtumie let say wanawake kwa mfano wife material, coca au mshangazi, au Leo dada awe balozi wako WA vipodozi humu jamii forum then unamlipa haiwezekani?
Ndo hao wanavo Fanya sina shaka na esma ye kanunua gari mbona hamuulizi baba levo, mwijaku, said said na dullah hao wote Wana mikataba na makampuni PESA inaingia, Ahmed ally like kampuni la kuuza magari analipwa sio Bure akitaka gari anakosaje?
Tuendelee jificha I'd ZETU ndo maisha tulio ya chagua hao tuyaache wapige hela kupitia taswira zao
Fullstop kwisha