Sasa kuhusu esma mtu kumtishia kama ukiwa mtu wa kuingia ig ni ngumu sana, juzi tu alikuwa na dili crdb marathon, Kuna ILE mechi ya wale madada wanaocheza soka nje ya nchi, walicheza pale kmc juzi tu mechi ya ihsani Hawa kina esma ndo walikuwa wapiga P,A amini hio ni kazi yake lazima kavuta, juzi Kuna picha ilisamba esma katambulishwa kwa gsm Yale ni madili tujue,Ni kweli mkuu
Mkuu huyo asma si ana k au unataka abaki hivohivo akiwashwa afanyeje? ni lazima awe na mtu MKUU, usimpangie mwanamke mtu wa kuwa NAE Hilo ni uamuzi wake kaka, baba levo kumhudumia ni lazima IKIWA TU anamchapa, hamna k ya Bure mjiniSawa asma tumekusikia
Ila kumbuka kuwa mchepuko wa baba levo ndio kumeleta mjini.
Watu wafanye kazi waache wivuSasa kuhusu esma mtu kumtishia kama ukiwa mtu wa kuingia ig ni ngumu sana, juzi tu alikuwa na dili crdb marathon, Kuna ILE mechi ya wale madada wanaocheza soka nje ya nchi, walicheza pale kmc juzi tu mechi ya ihsani Hawa kina esma ndo walikuwa wapiga P,A amini hio ni kazi yake lazima kavuta, juzi Kuna picha ilisamba esma katambulishwa kwa gsm Yale ni madili tujue,
Fullstop, kwishaaa
Hapana mkuu mi si huyo unae msema ila mnayo tatengeneza ni makubwa msifikirie hapa na hapo tunaenda kupata watoto wa kike Hilo ni bomu mnalo tengeneza kwamba kumiliki gari mpaka upanue miguu na si kazi amini we will pay it mud ni hakimu sahihiSawa Mama Chanja
BTW ile gari ni million ngapi?Hapana mkuu mi si huyo unae msema ila mnayo tatengeneza ni makubwa msifikirie hapa na hapo tunaenda kupata watoto wa kike Hilo ni bomu mnalo tengeneza kwamba kumiliki gari mpaka upanue miguu na si kazi amini we will pay it mud ni hakimu sahihi
Fullstop, kwishaaa