Mwambie siku nyingine asiiwaze Mining engineering, nina mdogo wangu kamaliza chuo(udsm) mwaka jana na GPA ya 4.2 lakini mpaka muda huu kazi hakuna kaamua kufundisha shule ya private, Kuna machaguo ambayo kamwe hayatamuangusha (civil, mechanical na electrical)
mkuu huyo ni mdogo wako au ni wewe unazuga hapa???? hapo kwenye red, watu wengi wamekua wakipotea kwa hofu na siamini kama kaweza kufaulu kwa juhudi zake ashindwe kusoma advance!! swali ni je,ye alitaka urahisi gani? anasema ngumu mbona sisi tumetokea huko huko au anasemea ugumu gani?? kama kweli unamjali mdogo wako kaa mshauri, na umwambie asipende kusikia maneno ya watu na afocus kwenye future yake!!! swali je, anadhani diploma ni rahisi?? je akimaliza diploma mziki wa kwenda degree atauweza?nimshauri ipi kati ya hz huyu dogo kapata div 1 anataka kuapply baada ya kuusikilizia mziki wa advance alipokuwa akisoma pre form 5 pcm,mi nimemshauri aendelee atazoea hlf sa iv diploma wapo wengi sana yan watakuja kusumbuliwa baadae kwnye mkopo lkn kakataa hataki tena advance,sasa wakuu ipi ni facaulty bomba kati ya hzo in terms of everything na akaapply chuo gan
naunga mkono hoja.ni fani mpya lakni muhimu.please wote naona hamjui BIOMEDICAL ENGINEERING, NI KOZI MPYA KWA TANZANIA NA WANAHITAJIKA KARIBU KILA HOSPITAL
nachukizwa kwel na watu kama hawa,samahani lknCookery au needlework