Mr.panya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 248
- 278
nimshauri ipi kati ya hz huyu dogo kapata div 1 anataka kuapply baada ya kuusikilizia mziki wa advance alipokuwa akisoma pre form 5 pcm,mi nimemshauri aendelee atazoea hlf sa iv diploma wapo wengi sana yan watakuja kusumbuliwa baadae kwnye mkopo lkn kakataa hataki tena advance,sasa wakuu ipi ni facaulty bomba kati ya hzo in terms of everything na akaapply chuo gan