Asota jela miaka 9 baada ya rafiki yake aliyemuazimisha geto kumuua mpenzi wake. Kisa simu iliyopokea SMS ya mapenzi

Asota jela miaka 9 baada ya rafiki yake aliyemuazimisha geto kumuua mpenzi wake. Kisa simu iliyopokea SMS ya mapenzi

Hata wenye nyumba wanaopangisha vijana wasio na wake unatakiwa umwambie waziwazi kwamba ni marufuku kumwachia mtu na mpenzi wake kutumia chumba chake kwa sababu linaweza tokea tukio kama hilo na yeye akakimbia na kumwachia msala mwenye nyumba.
Hili suala inatakiwa lifundishwe hadi mashuleni
 
Inasikitisha sana mtu hujaskiliza story nzima unakuja unaandika nonsense that's why JF ya sasa inashuka sana thamani yake Great thinkers wanapungua kwa kasi

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hii ni kutokana na ukweli kwamba Kuna kundi la vijana kutoka Facebook wameweza kujiunga na Jamii Forums.
Ndio maana unaweza kuona Kuna Jambo ambalo ni nyeti na linagusa Jamii kwa mapana yake lakiini maoni au comments zinazotolewa hazishabihiani na jukwaa husika,
Mada za kejeli matusi na maudhi katika mjadala kuntu zinatolewa unabaki naaswali, je Jamii Forums Kuna vijana wa Hovyo?
 
Hope's hii ni true story na ndio maana tunahitaji katiba mpya, maana katiba hii itatupa uwezo wa all suspects kuwa na haki zote hadi mahakama itoe hukumu, makosa yote yatakuwa yanapata dhamana, huu ni uonevu maana sidhani police waliweza to link mwenye chumba na crime scene, na pia sex ilifanyika why foresinc phothology report kuhusu mwili wa marehemu haikutumika hapo?ndio maana magereza yetu yamejaa innocent guy's ndani mle,inahudhunisha sana
Mawakili wakiamua kwenda sana sana kwenye jela na mahabusu za mikoani huko kuna watu wengi aidha wapo kwenye vifungo wasivyo stahili au tangu wawe lockup hajawahi pelekwa Mahakamani
 
Kwa afrika ni jambo la kawaida kwenda jela miaka kwa kesi isiyo yako
Even ulaya huwa naangalia sana ID investigation sometimes anayeshukiwa amefanya mauaji akijichanganya tu inakula kwake for example niliangalia kipindi kuna madogo 2 waliuawa wa 17 years sasa washukiwa nao walikuwa 16 years wawili pia mmoja wao akakiri baada ya kuambiwa na investigator kuwa akikiri ataachiwa sababu hana 18 years alivyokiri tu akapatwa na sekeseke wakati hajafanya mauaji imemchukua more than 30 years kuja kujulikana sio kweli sema wenzetu huwa wanalipwa fidia kwetu inakuwa imetoka hivyo

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,

Ulicholeta siyo story nzima
Bali Ni story ya upande mmoja
(Hatujaskia pia upande wa huyo unayemtuhumu kaua)

Kwaiyo
Unapoleta Uzi wako jf, Usitufunge wote ktk mawazo yako,yaan sote tufikiri unachofikiri wewe.

Na Hii Ndo maana Halisi ya HOME OF GREAT THINKERS
Huyu anayemtuhumu kaua alikimbia na kutoweka. Angekuwa amepatikana na hatia ya kuua si angefungwa? Jamaa alikaa mahabusu miaka 3 bila kupelekwa mahakamani. Kesi imeendeshwa kwa miaka kibao ndio mwaka huu kaachiliwa huru
 
Nje ya mada

Kuna kesi niliosoma humu kuhusu askari wawili, mmoja alikuwa ameshindwa pata mtoto kwa mke wake akampa hela rafiki yake afanye mambo kwa mke wake wapate mtoto bahati mbaya ikawa ngumu jamaa akaanza dai fidia kwa askari (mkodishwaji) baada ya vipimo ikaonekana yule askari wa kukodishwa hana uwezo wa kutungisha mimba ila kwake Ana watoto wawili

Mwenye kufahamu mwendelezo wa lile sakata anijuze
 
Mkuu,

Ulicholeta siyo story nzima
Bali Ni story ya upande mmoja
(Hatujaskia pia upande wa huyo unayemtuhumu kaua)

Kwaiyo
Unapoleta Uzi wako jf, Usitufunge wote ktk mawazo yako,yaan sote tufikiri unachofikiri wewe.

Na Hii Ndo maana Halisi ya HOME OF GREAT THINKERS
Hii story ipo YouTube channel ya millardayo
Isikilize utapata ukweli,na maelezo ya Jamaa yamekamilika.
 
Nikiwa naishi mkoa tofauti na familia nikalazimika kupanga chumba na kilikuwa self. Mara nyingi nikisafiri kwenda kujiunga na familia nilikuwa namwomba dogo mmoja nyumba ya jirani aje kulala kwenye chumba changu kwa ajili ya usalama wa vitu vyangu. Kumbe nilipokuwa nikiondoka dogo hugeuza chumba changu kuwa lodge. Alikuwa akileta mademu zangu kadhaa wa kadhaa ndani chumba changu.

Siku moja wife akaja kunitembelea ilikuwa ni desturi yake kuja. Katika kufanya usafi uvungu akakuta kile kinailoni cha kuhifadhiwa kondomu kimechanwa ikimaanisha kuwa kondomu iliyokuwa ndani imetumika. Moja kwa moja nilijua itakuwa ni dogo tu.

Ilizua mtafaruku mkubwa sana maana sikuwahi kumwambia kuwa kuna mtu huwa anakuja kulala pale mimi nikisafiri. Maelezo yangu hayakueleweka.

Baada ya hapo niliamua kuwa nafunga tu getho langu.
 
Af humu ndani si kuna member flan yule wa uzi wa lindi, mpwayungu smthng, na yeye jana si alisema anaishi kwa shemeji, na hapo hapo kapendwa na jimama. Subiri na yeye yamkute. Lakini akisota huko korokoroni ni sawa tu maana atapumzishwa na nyuzi zake za kienyeji
 
Nje ya mada

Kuna kesi niliosoma humu kuhusu askari wawili, mmoja alikuwa ameshindwa pata mtoto kwa mke wake akampa hela rafiki yake afanye mambo kwa mke wake wapate mtoto bahati mbaya ikawa ngumu jamaa akaanza dai fidia kwa askari (mkodishwaji) baada ya vipimo ikaonekana yule askari wa kukodishwa hana uwezo wa kutungisha mimba ila kwake Ana watoto wawili

Mwenye kufahamu mwendelezo wa lile sakata anijuze
Hii ni hatare zaidi
 
Back
Top Bottom