Tatizo mtu anaandika kwa kusoma comments za mtu badala ya kusoma mada husika. Wanaiharibu JF.Inasikitisha sana mtu hujaskiliza story nzima unakuja unaandika nonsense that's why JF ya sasa inashuka sana thamani yake Great thinkers wanapungua kwa kasi
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hili suala inatakiwa lifundishwe hadi mashuleniHata wenye nyumba wanaopangisha vijana wasio na wake unatakiwa umwambie waziwazi kwamba ni marufuku kumwachia mtu na mpenzi wake kutumia chumba chake kwa sababu linaweza tokea tukio kama hilo na yeye akakimbia na kumwachia msala mwenye nyumba.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba Kuna kundi la vijana kutoka Facebook wameweza kujiunga na Jamii Forums.Inasikitisha sana mtu hujaskiliza story nzima unakuja unaandika nonsense that's why JF ya sasa inashuka sana thamani yake Great thinkers wanapungua kwa kasi
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mawakili wakiamua kwenda sana sana kwenye jela na mahabusu za mikoani huko kuna watu wengi aidha wapo kwenye vifungo wasivyo stahili au tangu wawe lockup hajawahi pelekwa MahakamaniHope's hii ni true story na ndio maana tunahitaji katiba mpya, maana katiba hii itatupa uwezo wa all suspects kuwa na haki zote hadi mahakama itoe hukumu, makosa yote yatakuwa yanapata dhamana, huu ni uonevu maana sidhani police waliweza to link mwenye chumba na crime scene, na pia sex ilifanyika why foresinc phothology report kuhusu mwili wa marehemu haikutumika hapo?ndio maana magereza yetu yamejaa innocent guy's ndani mle,inahudhunisha sana
Even ulaya huwa naangalia sana ID investigation sometimes anayeshukiwa amefanya mauaji akijichanganya tu inakula kwake for example niliangalia kipindi kuna madogo 2 waliuawa wa 17 years sasa washukiwa nao walikuwa 16 years wawili pia mmoja wao akakiri baada ya kuambiwa na investigator kuwa akikiri ataachiwa sababu hana 18 years alivyokiri tu akapatwa na sekeseke wakati hajafanya mauaji imemchukua more than 30 years kuja kujulikana sio kweli sema wenzetu huwa wanalipwa fidia kwetu inakuwa imetoka hivyoKwa afrika ni jambo la kawaida kwenda jela miaka kwa kesi isiyo yako
UmeonaNimepata funzo hapa.
Huyu anayemtuhumu kaua alikimbia na kutoweka. Angekuwa amepatikana na hatia ya kuua si angefungwa? Jamaa alikaa mahabusu miaka 3 bila kupelekwa mahakamani. Kesi imeendeshwa kwa miaka kibao ndio mwaka huu kaachiliwa huruMkuu,
Ulicholeta siyo story nzima
Bali Ni story ya upande mmoja
(Hatujaskia pia upande wa huyo unayemtuhumu kaua)
Kwaiyo
Unapoleta Uzi wako jf, Usitufunge wote ktk mawazo yako,yaan sote tufikiri unachofikiri wewe.
Na Hii Ndo maana Halisi ya HOME OF GREAT THINKERS
Duuuh! pole yake,yaani maabusu au jela,unaweza ukasema huji kwenda,ikatokea tu...Huyu anayemtuhumu kaua alikimbia na kutoweka. Angekuwa amepatikana na hatia ya kuua si angefungwa? Jamaa alikaa mahabusu miaka 3 bila kupelekwa mahakamani. Kesi imeendeshwa kwa miaka kibao ndio mwaka huu kaachiliwa huru
Piga makofi kwa member huyu😁😁m
unataka nkutajie majna ya watoto wangu wote 19? Ngoja ntafute notebook nikayasomekina nani hao
Hii story ipo YouTube channel ya millardayoMkuu,
Ulicholeta siyo story nzima
Bali Ni story ya upande mmoja
(Hatujaskia pia upande wa huyo unayemtuhumu kaua)
Kwaiyo
Unapoleta Uzi wako jf, Usitufunge wote ktk mawazo yako,yaan sote tufikiri unachofikiri wewe.
Na Hii Ndo maana Halisi ya HOME OF GREAT THINKERS
Hii ni hatare zaidiNje ya mada
Kuna kesi niliosoma humu kuhusu askari wawili, mmoja alikuwa ameshindwa pata mtoto kwa mke wake akampa hela rafiki yake afanye mambo kwa mke wake wapate mtoto bahati mbaya ikawa ngumu jamaa akaanza dai fidia kwa askari (mkodishwaji) baada ya vipimo ikaonekana yule askari wa kukodishwa hana uwezo wa kutungisha mimba ila kwake Ana watoto wawili
Mwenye kufahamu mwendelezo wa lile sakata anijuze
Hii kesi iko humu mkuu, huwa natamani kufahamu iliishajeHii ni hatare zaidi