Asparagus, hizi ni mboga za matajiri pekee

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Asparagus ni aina ya Mboga vijiti ambazo sana huliwa na watu wa daraja la juu pekee.

Asparagus zinapendwa sana kwa sababu pia ni tiba ukiachana na kwamba ni mboga.

Kuna vatieties nyingi sana za asparagus ila zinazo letwaga Tanzania au zinaso limwa Tanzania sana ni hizi hapa;

Mary Washington

Jersey Giant F1

Jersey King F1

Maeneo zinapo weza limwa Asparhus ni maeneo kama Iringa, Mbeay,Arusha, labda na Jombe huko. Hiziboga unaweza kukutana nazo kwenye Super Market kubwa pekee yake.

 
Asante kwa Bandiko lenye Elimu ndani yake.

KUPITIA WEWE LEO TUMEJIFUNZA (ASANTE MKUU).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Nafikiri leo ndiyo mara yangu ya kwanza kuziona! Bei yake ikoje mkuu?
 
Nilitafuta mbegu sijapata una connection ya mbegu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…