Asparagus, hizi ni mboga za matajiri pekee

Kuna padre mmoja niliona anazipiga hatari na kazipanda,
 
Huo ufungaji ni wa supermarket gani Mkuu? Au umetega ndoano unasubiri wajilete wenyewe?.

Anyway njoo soko kuu Arusha hapa utazikuta zimezagaa zakutosha. Na mboga mboga nyingine unazoziona kwenye Tv pale utazikuta zakutosha.
 

Kuna ndude zingine hizi wazungu wanayatafuna kinoms ila bongo naona zimeshindwa kupasua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…