Pigeni Makofi Tafadhali...!
Kwa ujiko huu....na mkwanja huu.....unahitaji bodigadi.....
Najitolea.
Daaah . . . . .Anyway
Congrats to the Winner
Nilikua nasubiri mitishamba aondoke ndio nije hapa kuomba vocha...
'Please recharge me'
Nyie wote kwa mpigo mnakaribishwa kwenye kamnuso ka Fifty sauzend....Hongera sana mkwe................ zawadi ushakabidhiwa? tualikane kwenye hizo tusker
kwa hiyo list, nadhani itabidi tuje na mara kumi ya hizo kwa ajili ya ku-top up!Nyie wote kwa mpigo mnakaribishwa kwenye kamnuso ka Fifty sauzend....
Khaaa! Katatosha au na sisi kila mmoja ajibebee fifty sauzend yake?..Nyie wote kwa mpigo mnakaribishwa kwenye kamnuso ka Fifty sauzend....
halaf wee mi muda wote huu nilikuwa sijatoka, nakusubiri wewe. ulikuwa wapi?Hongera babu Asperini , pia BAK na EMT. . .hata wao wanastahili sana.
halaf wee mi muda wote huu nilikuwa sijatoka, nakusubiri wewe. ulikuwa wapi?
Aisee kumbe kuna zawadi?
Tusker Malt zitanikomaje?
Naomba wanaotaka kujumuika nami katika kuiteketeza hii fifty wanyooshe vidole juu.
Nimenyoosha kidole umeona 😛oa
hongeraa my babu
halaf wee mi muda wote huu nilikuwa sijatoka, nakusubiri wewe. ulikuwa wapi?
Kabakabana,
Siamini kabisa kama haya maneno yanatoka kinywani mwako, hapa lazima babu yako atakuwa amekupatia majibu, umefanya ku copy na ku paste.
Siku nyengine ukipewa majibu mabaya kama haya usikubali kuyatamka kirahisi rahisi, yafanyie editing kwanza kabla ya kuyapeleka hewani.
Ah! wababe walinipeleka kifungoni bwana.Hahahaha. . Vipi tena Mitishamba?
Yule wangu...so sina tatizo naye.Hujui nae huyo kashinda leo lazima ujining'inize unalo
Ah! wababe walinipeleka kifungoni bwana.
Nashukuru nimekukuta salama Lizzy wangu.
yaani uniambie mie sio mtamu bado nikuchekee?akhu,sifia hata kiuongo naweza badilisha mwelekeo
Kabakabana,
Mbona we mtamu long time, na hili nimedeclare from the beginning.
Kama hukunisoma mwanzoni, naomba kurudia kusema, you are so sweet (au kwa kikwetu wewe ni mswitii)!!
hehehehehehe!
THIDANGANYIKI
Kabakabana,
Acha hizo zako banaa, we si umeniambia niseme neno tu, japo la uongo lakini mimi nimesema kwa kumaanisha. Kama vipi nifundishe kikwenu basi uone ninavyozidi ''kukudondokea''!
mwizi haibi mchana! Yani nakwambia unidanganye na wewe ndo unatoa uongo wa chekechea kweli babu ana kazi ya ziada. Nitamwambia akupe twisheni subiri nimsake.
Ha ha haa, najua jana ilikuwa siku yenu, that's why umeamua kukomaa hadi mwisho.
Poa basi, kwakuwa nadhani leo ni siku yetu, bila shaka utalegeza msimamo:cool2::cool2:
Kongosho asali ya ODM, hebu come this way.Kuna mtu nimemtuma akuketee kirunguri cha mtama.
Yuko hapo getini, kachukue.