Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Pigeni Makofi Tafadhali...!

Kwa ujiko huu....na mkwanja huu.....unahitaji bodigadi.....
Najitolea.

Daaah . . . . .Anyway
Congrats to the Winner

Nilikua nasubiri mitishamba aondoke ndio nije hapa kuomba vocha...

'Please recharge me'

Hongera sana mkwe................ zawadi ushakabidhiwa? tualikane kwenye hizo tusker
Nyie wote kwa mpigo mnakaribishwa kwenye kamnuso ka Fifty sauzend....
 
Hongera babu Asperini , pia BAK na EMT. . .hata wao wanastahili sana.
 
Aisee kumbe kuna zawadi?

Tusker Malt zitanikomaje?

Naomba wanaotaka kujumuika nami katika kuiteketeza hii fifty wanyooshe vidole juu.

Nimenyoosha kidole umeona 😛oa
hongeraa my babu
 
Hongera sana Soulmate, nahisi nishapewa talaka kwa hiyo kwenye mgawo wa hiyo fifty nina mashaka
 
Kabakabana,

Siamini kabisa kama haya maneno yanatoka kinywani mwako, hapa lazima babu yako atakuwa amekupatia majibu, umefanya ku copy na ku paste.

Siku nyengine ukipewa majibu mabaya kama haya usikubali kuyatamka kirahisi rahisi, yafanyie editing kwanza kabla ya kuyapeleka hewani.

yaani uniambie mie sio mtamu bado nikuchekee?akhu,sifia hata kiuongo naweza badilisha mwelekeo
 
Ah! wababe walinipeleka kifungoni bwana.
Nashukuru nimekukuta salama Lizzy wangu.

We kwanini unawaruhusu? Embu kua ngangari kidogo bana. . .au wewe sio "Mwanaume Kamili" ?

Haya zawadi ya ushindi na sikukuu iko wapi?
 
yaani uniambie mie sio mtamu bado nikuchekee?akhu,sifia hata kiuongo naweza badilisha mwelekeo

Kabakabana,

Mbona we mtamu long time, na hili nimedeclare from the beginning.

Kama hukunisoma mwanzoni, naomba kurudia kusema, you are so sweet (au kwa kikwetu wewe ni mswitii)!!
 
Kabakabana,
Acha hizo zako banaa, we si umeniambia niseme neno tu, japo la uongo lakini mimi nimesema kwa kumaanisha. Kama vipi nifundishe kikwenu basi uone ninavyozidi ''kukudondokea''!

mwizi haibi mchana! Yani nakwambia unidanganye na wewe ndo unatoa uongo wa chekechea kweli babu ana kazi ya ziada. Nitamwambia akupe twisheni subiri nimsake.
 
mwizi haibi mchana! Yani nakwambia unidanganye na wewe ndo unatoa uongo wa chekechea kweli babu ana kazi ya ziada. Nitamwambia akupe twisheni subiri nimsake.

Ha ha haa, najua jana ilikuwa siku yenu, that's why umeamua kukomaa hadi mwisho.

Poa basi, kwakuwa nadhani leo ni siku yetu, bila shaka utalegeza msimamo:cool2::cool2:
 
Kuna mtu nimemtuma akuketee kirunguri cha mtama.
Yuko hapo getini, kachukue.

Ha ha haa, najua jana ilikuwa siku yenu, that's why umeamua kukomaa hadi mwisho.

Poa basi, kwakuwa nadhani leo ni siku yetu, bila shaka utalegeza msimamo:cool2::cool2:
 
Back
Top Bottom