Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

....yaani hapa kura ilinishinda, wote nawakubali...
hongera klorokwini, BAK na Aspirini kwa ushindi mwanana... :first:
 
Fellow tablet hebu hebu weka wazi hapo. Mjukuu yupi tumwendee Botswana. Afu hivi man na woman ofu ze yia si wanatakiwa waoane?


ODM wewe ni "JF Man of the year" mimi I am more interested in a Man of all Years......:eyebrows:
 
Babuuuu, hongera saaana......wewe ni mwanaume bana!! Kuna Captain Morgan na K-vant hapa, sijui waonaje???
 
Nshatia timu hapa Fyatanga bar. Wahudumu nshamwambia meneja awapumzishe. Leo ntahudumiwa na wajukuu... Jukuuz kwa mpigo hebu come this way...
 
Babu Safari hii Kura Zimetosha . . . . . ?
 
award-certificate-superman.jpg
 
Aspirin na fellow tablet wamepotea
sijui wamenichenga kwenda kutumia.

Leo nakesha na mwiko, ntawuwa!
 
Back
Top Bottom