Felo tablet.... wanaopinga matokeo tuwachukulie gunia ngapi za dagaa?Kwa wale wanaopinga matokeo, wanaombwa wasivunjike moyo, kutakuwa na uchaguzi mdogo jukwaa la love connect wiki ijayo wanaweza wakachukua fomu za kugombea na kujarib zali.
Asanteni sana
International observer wa JEC
Zimbabwe
Hilo ndo tatizo lenu.Kwa wale wanaopinga matokeo, wanaombwa wasivunjike moyo, kutakuwa na uchaguzi mdogo jukwaa la love connect wiki ijayo wanaweza wakachukua fomu za kugombea na kujarib zali.
Asanteni sana
International observer wa JEC
Zimbabwe
Halafu kuna hii mambo ya multi IDs. Mtu ana ID kumi au 15...unamonitior vipi hiyo kitu?
Felo tablet.... wanaopinga matokeo tuwachukulie gunia ngapi za dagaa?
Kama mtu ana multi IDs ni yeye na akili yake.Halafu kuna hii mambo ya multi IDs. Mtu ana ID kumi au 15...unamonitior vipi hiyo kitu?
Hata kama si sahihi?Kweli mkuu ningeweza shinda mimi au wewe wapo wengine wangekuja kubisha kama wewe tukubali matokeo na kukomaa kiJF
Kwa wale wanaopinga matokeo, wanaombwa wasivunjike moyo, kutakuwa na uchaguzi mdogo jukwaa la love connect wiki ijayo wanaweza wakachukua fomu za kugombea na kujarib zali.
Asanteni sana
International observer wa JEC
Zimbabwe
Felo tablet.... wanaopinga matokeo tuwachukulie gunia ngapi za dagaa?
Yeah...tena ukizingatia Superman nimesoma naye praimare mpaka diploma ya ualimu.Mkuu tuchukulie tu Superman kaamua kutoa sadaka hizo 50 kwa wanao pendwa na member wa JF
Sasa hayo yanakuwa mashindano au *****..!Kama mtu ana multi IDs ni yeye na akili yake.
Na kama ni mwanamke?Kwavile kuna mgomo wa madaktari nus kilo tu inatosha kumshusha mtu busha
Hata kama si sahihi?
Dah! greti thinka mitishamba yuko serious kweli. Easy kamanda. Huyo mkuu wenyewe wa tume anasmamia huu uchaguzi akiwa intaneti cafe, sio serious kiviiile jibabaHilo ndo tatizo lenu.
Mtu aki-cricize basi mnamuona adui.
Tatizo kubwa la jukwaa hili ni kuwa kuna watu wanalazimisha na wanatamani kila mtu afikirie wanachofikiria wao.
Siwezi kusema hii ni nyeupe wakati ni nyekundu.
Kwa nini mnadhani mmu ndo jf yote?Mkuu tuchukulie tu Superman kaamua kutoa sadaka hizo 50 kwa wanao pendwa na member wa JF
Hehehehehe! JF zaidi ya uijuayo!Dah! greti thinka mitishamba yuko serious kweli. Easy kamanda. Huyo mkuu wenyewe wa tume anasmamia huu uchaguzi akiwa intaneti cafe, sio serious kiviiile jibaba
Tunampa ujauzito bila kuingiliwa.Na kama ni mwanamke?
Yeah...tena ukizingatia Superman nimesoma naye praimare mpaka diploma ya ualimu.
Nlikuwa namkopeshaga sana hela. Ngoja alipe fadhila baada ya kuukwaa uhedimasta wa shule ya kata...Mwarubaini sekandare skul
Ndo upuuzi wenyewe huu!Mkuu kumbuka tu uongozi wa JF haujashiriki zoezi hili ni mtu tu na mapenzi yake kaamua kuanzisha shindano hili na watu wameitia kwa mitazamo tofauti tumwachie yeye kama ni sahihi au sio sahihi yeye anajua
Kwa nini mnadhani mmu ndo jf yote?
Kama kitu kimeletwa humu basi kisifanyike kwa matakwa ya mtu!Dah! greti thinka mitishamba yuko serious kweli. Easy kamanda. Huyo mkuu wenyewe wa tume anasmamia huu uchaguzi akiwa intaneti cafe, sio serious kiviiile jibaba
Kama umenifuatilia vizuri ndo mana nimesema hiyo title ibadilishwe na kuwa "mmu man of the year". Hiyo tuta-argue vingine tofauti na sasa.Weka sawa record zangy hapo wanao pendwa na wana MMU na Chit Chat
Mbona majukwaa mengine bado anashindanisha pitia pitia utaona kwenye siasa mi nilipenda aweke na jukwaa la kikubwa kule mi ningenyakua 50 hiyo