Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

We ningekupatia ila jina lako limenitisha utaniharibia wajukuu zangu vinyeo vyao.

A%20S%20465.gif
Bajeti ya maskini tajiri haiwezi
A%20S%20embarassed.gif
 
Ayaaaaaa!

Nilikwambia Mwita.... I told you yooo! IGWEEEEEE!

Hii si bure kiongozi lazima utakuwa umefanya kampeni kwa mjukuu wako ili mnimalize kabisa.

Lakini kwakuwa mimi si mtu wa kushindwa kirahisi, ninakwenda kujipanga, nitarudi tena, fitna yako nimeshaifahamu, Bibie Kabakabana hawezi kutoa maneno makali kiasi hicho hadharani, hajafundishwa hivyo, ninamfahamu alivyo mpole, mwenye busara na zaidi ya yote ana heshima huyo sijapata kuona!
 
sitaki eti wajukuu watamu wote hawapo ndo unantaka mimi? Ina maana mie sio mtamu? SITAKI nimesema

Kabakabana,

Siamini kabisa kama haya maneno yanatoka kinywani mwako, hapa lazima babu yako atakuwa amekupatia majibu, umefanya ku copy na ku paste.

Siku nyengine ukipewa majibu mabaya kama haya usikubali kuyatamka kirahisi rahisi, yafanyie editing kwanza kabla ya kuyapeleka hewani.
 
Hii si bure kiongozi lazima utakuwa umefanya kampeni kwa mjukuu wako ili mnimalize kabisa.

Lakini kwakuwa mimi si mtu wa kushindwa kirahisi, ninakwenda kujipanga, nitarudi tena, fitna yako nimeshaifahamu, Bibie Kabakabana hawezi kutoa maneno makali kiasi hicho hadharani, hajafundishwa hivyo, ninamfahamu alivyo mpole, mwenye busara na zaidi ya yote ana heshima huyo sijapata kuona!
Hehehehe.... mwambie abadilishe pasiwedi yake bana. Nina pasiwediz za wajukuu wote!
 
Yeke Mura,
Ntang'ambe

Karibu ugari wa mtama na kichuri.
Afu chioni unapata kirunguri
Mkuu naona wewe ndo hunitakii mema kabisaaaa,

Si nimeambiwa huyu kongosho ni shemale, sasa mimi nitampeleka wapi na ukizingatia mimi mtu wa bara, tena nchi ya milima ya mawe??
 
Daaah . . . . .Anyway
Congrats to the Winner
 
Hongera sana mkwe................ zawadi ushakabidhiwa? tualikane kwenye hizo tusker
 
Back
Top Bottom