Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uwezekano mkubwa hata babu aliwasaidia wajukuu "kuirembesha" nyumba upya.
Sina Cha kukomenti kwa kweli.huu Uzi kiroho Safi kiroho sayona.nawaachia wataalam muendeleze karibu legendary babuasprin
Sky nakusoma mida tu
Hahahahahahahahhahaaa nimepata cheko bariidiii kama la shemeji zima taa LUKU itaisha hehehehehe.
Shikamoo Babu! Asante kuitika; sasa bibi asije sema unamsikiliza mjukuu zaidi kuliko unavyomsikiliza yeye😛
Bibi yako hanaga shida kiviiile. Ananiamini na anakuamini. Labda itokee tuShikamoo Babu! Asante kuitika; sasa bibi asije sema unamsikiliza mjukuu zaidi kuliko unavyomsikiliza yeye😛
Haloooo ya Bibi!!😉.Bibi yako hanaga shida kiviiile. Ananiamini na anakuamini. Labda itokee tu
[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu pua kama yake kabisa[emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahahh Khaaa!Haloooo ya Bibi!!😉.
Basi babu itabidi tujitahidi isitokee jamani; Maana bibi akilianzisha, hapatakalika humu jamvini😛
Acha ufala we jamaa[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu pua kama yake kabisa[emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha ufala we jamaa