Assad agombee Urais ili awakopee ndege wajasiliamali wadogo

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Natumia theory ya Assad kwamba duniani kote ndege hazinunuliwi kwa cash bali mkopo.
Kwa theory hii ni vyema basi tuwakutanishe wajasiliamali wadogo jijini Dar wakope ndege hata 20 hivi za kuanzia.
 
Hilo jina lako linalingana na akili zako
 
Natumia theory ya Assad kwamba duniani kote ndege hazinunuliwi kwa cash bali mkopo.
Kwa theory hii ni vyema basi tuwakutanishe wajasiliamali wadogo jijini Dar wakope ndege hata 20 hivi za kuanzia.
Wewe ni zaidi ya msukule wa lumumba
 
Natumia theory ya Assad kwamba duniani kote ndege hazinunuliwi kwa cash bali mkopo.
Kwa theory hii ni vyema basi tuwakutanishe wajasiliamali wadogo jijini Dar wakope ndege hata 20 hivi za kuanzia.
Nakumbuka kipindi cha mdahalo wa TWAWEZA ni maoni yako tu ndiyo yalisomwa na Eyakuze kutoka jamiiforums so I bet utakuwa mwanafamilia au mtu wa karibu sana na JIWE ndo maana umeumia kupita kiasi na hii great loss!!

Pole sana itabidi uzoee Jiwe is no more!!
 
Ila MATAGA na hasa watetezi wa Mtesi Jiwe mmechanganyikiwa sana.

Kila anayeibuka na kusema madudu ya 'Mzarendo' mnaruka nae. Ila shida yenu wakati Jiwe anawaambia wenzake wasiwashwe washwe mlikuwa mnashangalia kweli kweli.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Natumia theory ya Assad kwamba duniani kote ndege hazinunuliwi kwa cash bali mkopo.
Kwa theory hii ni vyema basi tuwakutanishe wajasiliamali wadogo jijini Dar wakope ndege hata 20 hivi za kuanzia.
Mkuu inaonekana wazi umepanic kwa uchambuzi wa Prof. Assad aka Simba. Hebu tulia ulete hoja. Hivi vihoja mwachie johnthebaptist
 
Nakumbuka kipindi cha mdahalo wa TWAWEZA ni maoni yako tu ndiyo yalisomwa na Eyakuze kutoka jamiiforums so I bet utakuwa mwanafamilia au mtu wa karibu sana na JIWE ndo maana umeumia kupita kiasi na hii great loss!!

Pole sana itabidi uzoee Jiwe is no more!!
Rejea maoni yale ambayo of course bado hayajetekelezwa uone nilikuwa karibu na nani kama si wanyonge.
 
Tupo wajasiliamali tunaosubiri fursa hiyo ya kukopa ndege
Naona bado huamini kama jiwe hayupo tena madarakani.

Vumilia tu mama atatuvusha huku akiwachapa mafisadi walio ibuliwa na CAG
 
Wewe umeanza lini kumsifu mama?
 
Back
Top Bottom