Assad agombee Urais ili awakopee ndege wajasiliamali wadogo

Natumia theory ya Assad kwamba duniani kote ndege hazinunuliwi kwa cash bali mkopo.
Kwa theory hii ni vyema basi tuwakutanishe wajasiliamali wadogo jijini Dar wakope ndege hata 20 hivi za kuanzia.
Assad 5:CCM 0
 
Pathetic man at his level,MATAGA you don't believe yet, Kama jiwe kawaacha, mwizi mkubwa yule mwache aende zake
 
Hakika tunapitia kipind kigumu sana 🤣 ila ni mapito tu. Unless otherwise tubadili upepo tu, no way out.

Back
Top Bottom