Wote hao manguli kweli kweli. Kama kula muwa hao kuwakabili yataka kuvuta fundo:
"Waswahili walisema wapambanapo mafahali ziumiazo, nyasi."
Sote tu binadamu kufanya makosa hapa na pale isiwe muhani wandugu.
Tusikwazike na watu tukwazike na neno lao.
"Kosa moja lisifukuzishe mke."
7 x 70 tusichoke kusameheana maisha yakaendelea.
"Kwenye siasa tusiwe na marafiki au madui wa kudumu bali agenda."
Tukumbuke katika ukombozi, mtaji ni watu.