Ni jambo jema
Kwani ameomba radhi?Wote hao manguli kweli kweli. Kama kula muwa hao kuwakabili yataka kuvuta fundo:
View attachment 2713187
"Waswahili walisema wapambanapo mafahali ziumiazo, nyasi."
Sote tu binadamu kufanya makosa hapa na pale isiwe muhani wandugu.
Tusikwazike na watu tukwazike na neno lao.
"Kosa moja lisifukuzishe mke."
7 x 70 tusichoke kusameheana maisha yakaendelea.
"Kwenye siasa tusiwe na marafiki au madui wa kudumu bali agenda."
Tukumbuke katika ukombozi, mtaji ni watu.
Kwani Watanganyika ni Dini gani?!Uhuru wa kutoa maoni umeingiliwa, siku hizi imekuwa ngumu sana kukubali maoni ya mwingine bila kumtazama imani yake..
Hili la DPW limekuja kufichua yale waliyoficha toka awamu ya nne, wakaacha kutumia defence ya udini kwasababu aliyekuwa madarakani hakuwa mwenzao katika imani, sasa amekuja mwenzao, wamezikumbuka zile zama zao.
Kwa ufupi, huu mtazamo wa udini walianzisha wao, sasa ile mbegu waliyoilea miaka yote, ndio imechipua, bahati nzuri au mbaya kwao, wakati huu hawaogopwi kujibiwa, wanajibiwa kwa njia ile ile wanayokuja nayo, muhimu haki ya mtanganyika, na rasilimali zake, lazima zilindwe kwa namna yoyote.
Very goodUhuru wa kutoa maoni umeingiliwa, siku hizi imekuwa ngumu sana kukubali maoni ya mwingine bila kumtazama imani yake..
Hili la DPW limekuja kufichua yale waliyoficha toka awamu ya nne, wakaacha kutumia defence ya udini kwasababu aliyekuwa madarakani hakuwa mwenzao katika imani, sasa amekuja mwenzao, wamezikumbuka zile zama zao.
Kwa ufupi, huu mtazamo wa udini walianzisha wao, sasa ile mbegu waliyoilea miaka yote, ndio imechipua, bahati nzuri au mbaya kwao, wakati huu hawaogopwi kujibiwa, wanajibiwa kwa njia ile ile wanayokuja nayo, muhimu haki ya mtanganyika, na rasilimali zake, lazima zilindwe kwa namna yoyote.
Hawana diniKwani Watanganyika ni Dini gani?!
Dini ya Yesu mwana wa MunguKwani Watanganyika ni Dini gani?!
Mtanikumbuka ππππ₯Prof. Assad tulihuzunika naye wakati alipotumbuliwa na jiwe kwa uonevu. Lkn hv sasa katugeuka.
Hakuna hiyo dini dunianiDini ya Yesu mwana wa Mungu
Mchanganyiko, wapo wenye dini za kuletewa, na wale wenye dini zao za asili.Kwani Watanganyika ni Dini gani?!
Kwani Nyerere Uhuru alipewa na nani?Mchanganyiko, wapo wenye dini za kuletewa, na wale wenye dini zao za asili.
Hapa kwa wakristu huwa hakuna tatizo, akija mtawala mkristu akafanya ujinga huwa tunamlaani bila kupepesa, na hao wanafiki wa upande wa pili huungana nasi kwenye kumlaani, tukidhani wako nasi pamoja kukemea maovu kumbe huwa tunajidanganya...
Akija kiongozi wa upande wao, hapo ndipo maigizo yao huanza, hawataki akosolewe hata kama akifanya makosa ya wazi, mfano mkataba mbovu wa bandari, kila mmoja mwenye jicho neutral anauona ulivyo na terms za hovyo, lakini wao wanajitoa akili makusudi kuanza kutetea ujinga wakidhani tutanyamaza, wanakosea.
Wajiulize jambo kama wana akili timamu, kwanini defence ya udini huja wakati wa awamu yao, nao huruhusu kuipa nafasi, wala isije wakati wa awamu ya kiongozi asiye wa imani yao? wakipata jibu la hili swali, ndio watajiona wanavyotumika kirahisi, kwa kujua au kutokujua.
Yaani upande moja ni wa pink , na upande mwingine ni wa blue ?
Mzee wako siku aliyokumwaga bora angevaa ndomu walahii...[emoji35][emoji35][emoji35]Njooni tulime huku mashambani mnapiga kelele kuhusu bandari wakati hamjawaji kuingiza nchni hata kiwembe hamjui adha za bandari