Assam Don Bosco University-Msaada Tafadhali!

Planner

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
348
Reaction score
148
Habari za majukumu wadau, Nina Bwana mdogo wangu anataka kusoma Masters online,katika kuzunguka hapa na pale amekutana na Contact za chuo kinaitwa 'Assam Don Bosco' kipo India,baada ya kuperuzi details zao anadhani zitamfaa kwa kuangalia kozi aitakayo,muda wa kumaliza na fee structure.Naomba ushauri wenu as to whether hiki chuo kinatambulika globally na mamlaka zetu pia, thamani/ubora wa online Education ukoje nk.Natanguliza shukrani nyingi!!
 

Kwa Tanzania ubora wa online education bado unadharaulika ndugu. Watu wanaosomaga online ni wale ambao wapo kwenye system tayari and so what they need ni cheti tu na sio ubora.
Khs kutambulika na tcu kinaweza kuwa kikawa kinatambuliwa bt kisitambuliwe na waajiri wengi. Kwan ww hujuh kuwa vyuo karibia vyote vinavyotoa elimu ya juu hapa Tanzania vinatambuliwa na tcu au nacte bt still kuna baadh ya hiv vyuo vinabezwa sana na waajiri.
 
Wataalamu zaidi watakuja. Lakini mimi ningeshauri asome Vyuo vya hapa hapa Nchini kama OUT na vingine vyenye Executive Programme za Masters. Programme za Distance zinazotolewa na Vyuo, hasa vya nje nyingi ni magumashi tu!
 
India Don bosco ni wazuri saana kwa elimu za sekondari... kuna muhindi msomi nilimuuliza hicho chuo akaniambia hilo ni changa la macho.......still the decision is yours.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…