Planner
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 348
- 148
Habari za majukumu wadau, Nina Bwana mdogo wangu anataka kusoma Masters online,katika kuzunguka hapa na pale amekutana na Contact za chuo kinaitwa 'Assam Don Bosco' kipo India,baada ya kuperuzi details zao anadhani zitamfaa kwa kuangalia kozi aitakayo,muda wa kumaliza na fee structure.Naomba ushauri wenu as to whether hiki chuo kinatambulika globally na mamlaka zetu pia, thamani/ubora wa online Education ukoje nk.Natanguliza shukrani nyingi!!