ASSISTANCE: Condomu kubaki ndani ya uke!

Wahi clinic ya karibu ikatolewe...

Lakini hii huwa inatokea kiukweli??
Inatokea...imetokea kwa mwenzangu, kuna wanawake wanapenda kuubana uume wakiwa (wanawake) wanakaribia kukojoa, hiyo inaweza kusababisha akabaki na kondomu ukeni...bahati mimi nliweza kumtoa mwenyewe lakini ni vizuri sana kumuona Dr. hali hiyo inapokuwa inatokea hasa kama huyo mwanamke ana njia ndogo sababu itabidi wamtoe kwa vifaa maalumu kama vile wanavyotumia kutoa mimba otherwise utajikuta unazidi tu kuisuma ndani...ambapo unaweza ukahitaji operation kuitoa!
 
kwa hiyo mkuu ulimkaukia mpenzi wako haukumwambia kilicho tokea?
 
dah inapotelea ndani , hii kali, lakini mara zote ikichomoka lazima utajua tu na utaitoa labda ufanye kusudi ndio itabaki humo ndani. any way inatoka bila shida kwa vidole.
 

sasa wewe ulikuwa umeingiza wapi? manake sehemu ya kukojolea na sehemu ya kuingiza mtalimbo ni vitu viwili tofauti? kwanza how old are u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…