ropam
Senior Member
- Aug 11, 2010
- 173
- 36
Inatokea...imetokea kwa mwenzangu, kuna wanawake wanapenda kuubana uume wakiwa (wanawake) wanakaribia kukojoa, hiyo inaweza kusababisha akabaki na kondomu ukeni...bahati mimi nliweza kumtoa mwenyewe lakini ni vizuri sana kumuona Dr. hali hiyo inapokuwa inatokea hasa kama huyo mwanamke ana njia ndogo sababu itabidi wamtoe kwa vifaa maalumu kama vile wanavyotumia kutoa mimba otherwise utajikuta unazidi tu kuisuma ndani...ambapo unaweza ukahitaji operation kuitoa!Wahi clinic ya karibu ikatolewe...
Lakini hii huwa inatokea kiukweli??