Reply
New Member
- Sep 14, 2020
- 1
- 0
Assume na wewe ni mgombea uraisi Toa sera zako ili Watu Uwahamasishe wakuchague...
NB.Thread hii sio ya kukashifu au kuchochea chuki upande wowote ule
Mimi ningekuwa mgombea uraisi
Ningeanza kumwaga sera zangu kama ifuatavyo...
1
NB.Thread hii sio ya kukashifu au kuchochea chuki upande wowote ule
Mimi ningekuwa mgombea uraisi
Ningeanza kumwaga sera zangu kama ifuatavyo...
1
- nitatoa ajira kwa vijana 80%
2 - Nitawaletea mabasi ya kwenda mikoani kila mkoa mabasi 10
3 - Nitawalete maji kila mkoa
4 - Nitajenga kiwanda cha smartphone ili kila mwananchi awe na smartphone take binafsi
5 - Ndugu wananchi Kama mtanipa kura nitawajengea uwanja mkubwa na mzuri wa mpira Africa mashariki nzima hakuna utakao ufikia