Assume na wewe ni mgombea uraisi, toa sera zako ili watu uwahamasishe wakuchague

Assume na wewe ni mgombea uraisi, toa sera zako ili watu uwahamasishe wakuchague

Reply

New Member
Joined
Sep 14, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Assume na wewe ni mgombea uraisi Toa sera zako ili Watu Uwahamasishe wakuchague...

NB.Thread hii sio ya kukashifu au kuchochea chuki upande wowote ule

Mimi ningekuwa mgombea uraisi
Ningeanza kumwaga sera zangu kama ifuatavyo...


1
  • nitatoa ajira kwa vijana 80%

    2
  • Nitawaletea mabasi ya kwenda mikoani kila mkoa mabasi 10

    3
  • Nitawalete maji kila mkoa

    4
  • Nitajenga kiwanda cha smartphone ili kila mwananchi awe na smartphone take binafsi

    5
  • Ndugu wananchi Kama mtanipa kura nitawajengea uwanja mkubwa na mzuri wa mpira Africa mashariki nzima hakuna utakao ufikia
 
Ningekuwa Raisi

Nisingetumia fedha nyingi kwenye barabara badala yake ningeleta Mapinduzi na kujenga uchumi wenye ajira endelevu mfano

Viwanda vinatoa ajira endelevu tofauti na ujenzi wa barabara unaotoa ajira za muda.

Ni heri utembee kwenye vumbi Ila Una hela mfukoni kuliko kutembea kwenye lami wakati huna hela
 
Back
Top Bottom