Kama nilivyo ona mimi vile. Viwili viko mbele mmoja yuko nyuma,ila huko nyuma kuna mwingine kama nataka nimuweke awe wa nne,ila mzani unakataa.Nimeona vyombo vi3 tu.
Hauko serious kabisa bibie. Sisi ndio tunajua uzuri ukoje na hapo wapo walio mzidi bibi harusi mbali sana,tena sio tu wazuri bali wana mvuto pia.Mbona sijamuona anayemzidi bi harusi hapo sema mwanaume akishakuwa furushi kila mwanamke anamuona mzuri kuliko mkewe
Ndio kitu ninachoshuhudia sasa hivi hapa maids wote wakali sanaUnaweza kuomba namba za simu, after honeymoon ukaanza kudeal na mmoja baada ya mwingineView attachment 1269142
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo utakuwa makini na rangi kweli?...mwanzo nilitaka kuandika nyekundu[emoji85][emoji85], toto hiloooo[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
Huyo mlevi atakuwa mtoto mkuu. K zipo tofauti narudia zipo tofauti sanaK ni ile ile, alisikika mlevi mmoja huku akiongeza mbege kwenye chibuku
Aaah wapi....zinatofautiana saana.
Yaani A E I O Uno
ha ha ha ndio maana wanashauri ukiwa muonjaji sana utagundua udhaifu wa unayoimiliki...ni bora usionje onje ili uishi kwa kuamini uliyonayo ni sawa na za wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio madhara ya kutumia usafiri wa kila aina
Kwamba ya Sanchi ipo tofauti na ya Amba....!Huyo mlevi atakuwa mtoto mkuu. K zipo tofauti narudia zipo tofauti sana
Kweli mkuuha ha ha ndio maana wanashauri ukiwa muonjaji sana utagundua udhaifu wa unayoimiliki...ni bora usionje onje ili uishi kwa kuamini uliyonayo ni sawa na za wengine
Mabwawa ya mtera,mto ruvu na vidimbwiKwamba nyingine ni stigla joji na nyingine ni nyumba ya mungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhaha uongozi wa mabaharia umegundua umatumia vibaya cheo chakoNimekuwa promoted tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Na ukijizuia kumto.... to... Watakuto...mbe... Tomb...*#%..eaNdio mana nasemaga ukitaga usimchoke mkeo/mpenzi wako jizuie usipende kumto.. to....
[emoji23][emoji23][emoji23]Na ukijizuia kumto.... to... Watakuto...mbe... Tomb...*#%..ea
alifanya kosa kubwa sana la kiufundi ambalo tutalijutia daima.Aliyeitenganisha Tanganyika na Rwanda alifanya makosa makubwa sana
Nakumbuka tulikuwa kwenye kharusi moja ya ndugu yetu, nilikuwa na mabinti wengine pamoja na mdogo wangu mmoja mtoto wa mamkubwa, yule binti ni mrembo hasa alishawahi shiriki mashindano ya urembo pia.!!
Bwana kharusi akili yote ikamtoka akawa anamshangaa yule binti mpaka anapoteza concentration, unamuona kabisa huyu anajizuia lakini anashindwa, na upande tumekaa ni rahisi kuonana, wakati wa kula ndo kabisa hamtazami mkewe aliyevaa shela hapo pembeni, ni vimacho havitulii.!! aiseeh' ilibidi tufanye utaratibu tu tuondoke maana mambo yalikuwa tayari magumu,
Wanaume, walaqhi mtavunja ndoa zenu siku ya kharusi..!! 😂 😂
Hahahaa.!
Kama mtu ni mrembo kushinda bi kharusi, siyo kosa la kiufundi??
Bwaana kharusi atulie tu na chaguo lake, hapa desree atanielewa vizuri.!!
btw, mrembo wa watu kashaolewa sahii na mtoto anaye.!!
K ni ile ile ila zinatofautiana ladha...aliskika bodaboda mmoja kijiweni