Assume ndio siku yako ya harusi unakutana na vyombo kama hivi....

Assume ndio siku yako ya harusi unakutana na vyombo kama hivi....

Mbona sijamuona anayemzidi bi harusi hapo sema mwanaume akishakuwa furushi kila mwanamke anamuona mzuri kuliko mkewe
Hauko serious kabisa bibie. Sisi ndio tunajua uzuri ukoje na hapo wapo walio mzidi bibi harusi mbali sana,tena sio tu wazuri bali wana mvuto pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo utakuwa makini na rangi kweli?...mwanzo nilitaka kuandika nyekundu[emoji85][emoji85], toto hiloooo[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio madhara ya kutumia usafiri wa kila aina
ha ha ha ndio maana wanashauri ukiwa muonjaji sana utagundua udhaifu wa unayoimiliki...ni bora usionje onje ili uishi kwa kuamini uliyonayo ni sawa na za wengine
 
Nakumbuka tulikuwa kwenye kharusi moja ya ndugu yetu, nilikuwa na mabinti wengine pamoja na mdogo wangu mmoja mtoto wa mamkubwa, yule binti ni mrembo hasa alishawahi shiriki mashindano ya urembo pia.!!

Bwana kharusi akili yote ikamtoka akawa anamshangaa yule binti mpaka anapoteza concentration, unamuona kabisa huyu anajizuia lakini anashindwa, na upande tumekaa ni rahisi kuonana, wakati wa kula ndo kabisa hamtazami mkewe aliyevaa shela hapo pembeni, ni vimacho havitulii.!! aiseeh' ilibidi tufanye utaratibu tu tuondoke maana mambo yalikuwa tayari magumu,

Wanaume, walaqhi mtavunja ndoa zenu siku ya kharusi..!! 😂 😂

Kula kwa macho nikuona, hivyo tu.
 
Hahahaa.!
Kama mtu ni mrembo kushinda bi kharusi, siyo kosa la kiufundi??

Hapana kosa lolote kiufundi
Mke anavigezo vinginevo vingi
Kwakweli nizaidi ya urembo
Ni zaidi ya reception
Zipo sifa zinginezo zaidi ya urembo kukidhi vigezo hatua ya kuitwa mke.
 
Kwa mfano yaani "ukishadeal" na mmojammoja na kweli ukafanikiwa unakuwa umepata hasa??
 
Back
Top Bottom