Assume ndio siku yako ya harusi unakutana na vyombo kama hivi....

Naomba namba yake, utapata cha juu 1.5ml..siriaz
Nakumbuka tulikuwa kwenye kharusi moja ya ndugu yetu, nilikuwa na mabinti wengine pamoja na mdogo wangu mmoja mtoto wa mamkubwa, yule binti ni mrembo hasa alishawahi shiriki mashindano ya urembo pia.!!

Bwana kharusi akili yote ikamtoka akawa anamshangaa yule binti mpaka anapoteza concentration, unamuona kabisa huyu anajizuia lakini anashindwa, na upande tumekaa ni rahisi kuonana, wakati wa kula ndo kabisa hamtazami mkewe aliyevaa shela hapo pembeni, ni vimacho havitulii.!! aiseeh' ilibidi tufanye utaratibu tu tuondoke maana mambo yalikuwa tayari magumu,

Wanaume, walaqhi mtavunja ndoa zenu siku ya kharusi..!! [emoji23] [emoji23]
 
Aaah wapi....zinatofautiana saana.
K ni zilezile tu. Kukosa ubunifu wa wote wawili ndio sawa kula ugali kwa parachichi
Hasa mwanaume ukokosa ujuzi utabaki kipiga danadana

Unasingizia pen wakati unayeandika ni wewe
 
Hata asipowamaliza wewe unaweza komaa na mmoja na ukafa kwa kipindupindu au dengue. Na kifo kinabaki na jina lile lile moja "AMEKUFA"
Tamaa tu huwezi kuwamaliza wanawake wazuri sana utakufa kwa ukimwi huku ukiwa maskini wa kutupwa.
 
Unatupa ndoano, atayemeza ndiyo huyo utakayeanza naye baada ya honeymoon yako.
 
Kwenye honeymoon; Dushe ndani ya papuchi ya bi harusi,feeling kwa mdogo wako,Hahaaa baharia haoni shida kupika ugali kwa kutegemea kupamba harufu toka kwa ngulu anaebanikwa kwa jirani.
Nakumbuka tulikuwa kwenye kharusi moja ya ndugu yetu, nilikuwa na mabinti wengine pamoja na mdogo wangu mmoja mtoto wa mamkubwa, yule binti ni mrembo hasa alishawahi shiriki mashindano ya urembo pia.!!

Bwana kharusi akili yote ikamtoka akawa anamshangaa yule binti mpaka anapoteza concentration, unamuona kabisa huyu anajizuia lakini anashindwa, na upande tumekaa ni rahisi kuonana, wakati wa kula ndo kabisa hamtazami mkewe aliyevaa shela hapo pembeni, ni vimacho havitulii.!! aiseeh' ilibidi tufanye utaratibu tu tuondoke maana mambo yalikuwa tayari magumu,

Wanaume, walaqhi mtavunja ndoa zenu siku ya kharusi..!! [emoji23] [emoji23]
 
Mmepatia kabisa vyombo vipo vi3 tu basi.
Hapo kazi ipo
IMG-20191123-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom