waBasila
Senior Member
- Jun 27, 2013
- 168
- 37
- Thread starter
- #21
true pple, but TZ ni mali ya waTZ na we may make how we want it to be, problem kubwa ni utashi wa viongozi juu ya mabadiliko, japo na watawaliwa twaweza kuwa sababu kwa namna kuu mbili,1) nani tunaye mchagua 2) sisi nasi tukoje tunapopewa kufanya kitu kwaajili ya nchi kwani Raisi na viongozi wengine wamo kati yetu, so the better we are the better we produce. lets begin they will follow.