Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
-
- #41
Kanda lile utafikiri gladiator anataka kupigana huko Roma.
Jamani hakuna mambo ya maana ya kujadili badala ya haya ambayo ni "zinaa oriented?" Au ndio kile kizazi alichokiita Yesu Kristo "kizazi cha zinaa?"
Ab-Titchaz kama wewe ni mpenzi wa kile kipindi cha UNDERCOVERS kinachoonyeshwa NBC, Huyu Gugu Mbatha-Raw na Kim Kardashian nani mrembo!.
Negative marks are awarded if I were the judge!!!
...usisahau makalio!...kama ya kibantu bantu vile eti!