Astaghafirullahi!!...semani wenye kusema leo!

Astaghafirullahi!!...semani wenye kusema leo!

Jamani hakuna mambo ya maana ya kujadili badala ya haya ambayo ni "zinaa oriented?" Au ndio kile kizazi alichokiita Yesu Kristo "kizazi cha zinaa?"

..Bwana asifiwe sana!
 
(( ...usisahau makalio!...kama ya kibantu bantu vile eti!))


Apo umesema
 
gugu-mbatha-raw.jpg


Ab-Titchaz kama wewe ni mpenzi wa kile kipindi cha UNDERCOVERS kinachoonyeshwa NBC, Huyu Gugu Mbatha-Raw na Kim Kardashian nani mrembo!.

Sasa huyu ana urembo gani? au kwa sababu pundamilia?
 
Negative marks are awarded if I were the judge!!!

Mmmm kwa hali hiyo uzuri wa mamekapu huku akishindwa hata kuondowa hizo dandruff alizonazo kwenye nywele au wngine hamuangalii ? mikono imepayuka kwa kuparwa thanks to Gillette.
 
Mi naona kwa nje ni wa kawaida 2. Maana mambo yaha bwana , ukitaka kujua uhondo wa ngoma ni uingie ucheze.

Na hapo ukitaka kujua ni mzuri au mbaya , basi omba mechi nae ,ndo utajua , maana uzuri wa gari ni injini na sio body. Unaweza ukaona body zuriiii kumbe injini scaper !!!
 
Back
Top Bottom