Watz nyoso saaaanaHivi vicomment vya hovyo hovyo ni vya kukemewa na kila mtu,comment za aina hii kwa mtu aliyepo abroad inatoa taswira gani kwenye nchi husika ilipotoka hiyo comment? wanaweza kudhani hiyo ndio tabia ya watu wote au ndio mentality ya watu wote Tz!
ni company ya ujenzi hioMkuu kuna mtu kanisalimia anasema yapi merkez naomba nisaidie namjibuji
msimu uliopita walianzaje kwaniWakuu Salaam,
Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni.
Mechi za karibuni ni hizi:
View attachment 1583872
Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa kifua mbele kabisa, nini cha ziada kimefanyika ndani ya hii timu?
ndo maana muda tunaona aibu kusema ichi yako
Mjibu SGR Dar to MoroMkuu kuna mtu kanisalimia anasema yapi merkez naomba nisaidie namjibuji
Sitaki kuelewa unamaanisha nn....Wakuu Salaam,
Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni.
Mechi za karibuni ni hizi:
View attachment 1583872
Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa kifua mbele kabisa, nini cha ziada kimefanyika ndani ya hii timu?
Haya ni mambo ya kawaida kwenye soka ni sehemu ya mahaba waliyonayo watu.Watanzania wanaonekana washamba huko kwenye mitandao na kurasa za watu, ustaarabu ziro kabisa
NimeaminiKunafollower walikuwa nuksi.. Walivo unfolow tu gundu zikaondoka
Ameshinda 7 against Liverpool, huoni kulikua kuna kitu kinazuia mafanikio ya Aston VillaAnashinda against nani? Ni suala la muda tu
SAMATTA alikuwa anachanganya mambo yake ya kienyeji kwa wazungu wanao amini Mungu na mazoezi, mambo yakawa yanakwama, alipoondoka tu anga likafunguka na ndio unaona LiverFOOL ananyewa 7Wakuu Salaam,
Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni.
Mechi za karibuni ni hizi:
View attachment 1583872
Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa kifua mbele kabisa, nini cha ziada kimefanyika ndani ya hii timu?
Ndumba ulaya hamna, pale Ni juhudi za MTU, sasa hii kucheza huku una mafuta ya kujipaka usoni uonekane pamoja na mzizi ukae kwenye kiatu matokeo yake ndy haya!SAMATTA alikuwa anachanganya mambo yake ya kienyeji kwa wazungu wanao amini Mungu na mazoezi, mambo yakawa yanakwama, alipoondoka tu anga likafunguka na ndio unaona LiverFOOL ananyewa 7
Bado hujaona?Ngoja tusubiri mechi 4 mfululizo za EPL tuone watakuwaje.