sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Watz nyoso saaaanaHivi vicomment vya hovyo hovyo ni vya kukemewa na kila mtu,comment za aina hii kwa mtu aliyepo abroad inatoa taswira gani kwenye nchi husika ilipotoka hiyo comment? wanaweza kudhani hiyo ndio tabia ya watu wote au ndio mentality ya watu wote Tz!