Aston Villa inashinda mechi ya 4 mfululizo, tatizo ilikua ni nini?

Hapo naona kashinda mechi moja tu Sheffield United maana huu msimu toka uanze wamepoteana sana . Hizo timu nyingine sio kipimo kizuri.
Subiri wakutane na timu kama evarton, Wolverhampton, Leeds, crystal palace ndio tuanze kutoa pongezi
Hizo timu ulizotaja hapo huwa naziitaga vivuruge,yani wao hawachukui ubingwa kazi yao kuharibiana mood tu...
 
Ndumba ulaya hamna, pale Ni juhudi za MTU, sasa hii kucheza huku una mafuta ya kujipaka usoni uonekane pamoja na mzizi ukae kwenye kiatu matokeo yake ndy haya!
umeona eeh, basi tukubaliane Samatta level zake ni game za mchangani, pale UINGEREZA alipandishwa sana
 
Hivi vicomment vya hovyo hovyo ni vya kukemewa na kila mtu,comment za aina hii kwa mtu aliyepo abroad inatoa taswira gani kwenye nchi husika ilipotoka hiyo comment? wanaweza kudhani hiyo ndio tabia ya watu wote au ndio mentality ya watu wote Tz!
Tanzania ina watu wa hovyo sana mbaya zaidi hata watu wa maana wameingia kwenye huu uupuzi wanaandika comments za kijinga kwenye page ya Aston villa hii kipimo tosha kujua hii nchi ina watu wa sampuli gani
 
umeona eeh, basi tukubaliane Samatta level zake ni game za mchangani, pale UINGEREZA alipandishwa sana
Wakina shafih dauda ndy wanamkuza, akitoka uturuki aende Japan huko azidi kutakata awe anacheza asubh kwa majira ya huku
 
Naangalia matokeo yao muda huu nazidi kushangaa. Nilimfata kwa utani single bet na imetiki. Safari hii anaaminika kuliko Liverpool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…