stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Hizo timu ulizotaja hapo huwa naziitaga vivuruge,yani wao hawachukui ubingwa kazi yao kuharibiana mood tu...Hapo naona kashinda mechi moja tu Sheffield United maana huu msimu toka uanze wamepoteana sana . Hizo timu nyingine sio kipimo kizuri.
Subiri wakutane na timu kama evarton, Wolverhampton, Leeds, crystal palace ndio tuanze kutoa pongezi